Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,032
- 111,624
Kwanini mkuu?Jk si wakuaminika inawezekana press ya Pole Pole ina mkono wake.
Kwanini mkuu?Jk si wakuaminika inawezekana press ya Pole Pole ina mkono wake.
WatapoteaNatamani ila Kikwete na genge lake watakubali?
Mzee wa kungata na kupulizaKwanini mkuu?
Mkeka Umechanika 😀 😀 😀Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,
Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi
Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka
Britanicca
HatariMzee wa kungata na kupuliza
2045 au?Watapotea
Samia katengenezwa na Kikwete na AAK hadi kufika hapo,Muulize Lowasa anamjua jamaa vizuri sana, na kumbuka anavyompitisha bila kufuata utaratibu alisema labda litokee lingine.
Lowassa angekuwa RC nadhani asingemfanyia umafia ule hadi 2015 kumchinjia bahariniMuulize Lowasa anamjua jamaa vizuri sana, na kumbuka anavyompitisha bila kufuata utaratibu alisema labda litokee lingine.
Yule mzee atabiriki sio wa kumuamini hata huyu wetu kaingia kichwa kichwa hadi anamtambulisha kama boss wakeLowassa angekuwa RC nadhani asingemfanyia umafia ule hadi 2015 kumchinjia baharini
Suti limeyeyukaMheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,
Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi
Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka
Britanicca
HahahaJk si wakuaminika inawezekana press ya Pole Pole ina mkono wake.
😄Hahaha
Saa 100 kwenye uzinduzi wa hema la Mwamposa alisema Kikwete ni boss wake.,Samia katengenezwa na Kikwete na AAK hadi kufika hapo,
Kikwete kwa sasa ni kama ndio raisi Samia ni kivuli,
Anawezaje kuondoa kivuli ambacho kinamfamnya aongoze yeye nyuma ya pazia?
Ni kweli kabisa na siku hizi Chikwete na Semia ni kama kupe na ng'ombe.Saa 100 kwenye uzinduzi wa hema la Mwamposa alisema Kikwete ni boss wake.,
Kwamba nafasi yake yaja?Exactly
Aina ya akina nanhii hawafaiPolepole has the potential to be a good president. Namkubali.
AaaahPolepole has the potential to be a good president. Namkubali.