ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,003
- 46,888
- Thread starter
-
- #21
Inasikitisha ngoja tuone kupitia majukwaa mfano hapa JF labda mtu anaweza kupitia hapa akabadili mtazamoBasi iko hivyo Kuna wati wanatamani hata chako kiwe chake
Nani kasema ??? πππWewe moyo wako sultan cha mtu hukitamani safiii
Wow wow πUzi huu nausindikiza na kibao kutoka kwa Tarrus Riley kiitwacho Human nature.
And If they say why why,
tell them that is human nature, why why
View: https://youtu.be/s8cic0kL9EU?si=oQXxuFkicGCZlIER
Mikono inawasha kuandika bro ππΌWelcome back ShesRise_1
Hisia acha zituvae kwa gafla lakiniWelcome back ShesRise_1
Kama hatuchagui kila hisia inayotokea ndani yetu, lakini tunachagua namna ya kuitendea kazi je, tunapaswa kumhukumu mtu kwa hisia aliyonayo, au kwa maamuzi anayofanya akiwa na hisia hiyo? Na kama tunajua impulse fulani inaweza kuwa destructive, ni wakati gani responsibility yetu inaanza pale tunapoihisi, au pale tunapoamua kuifuata? π€
Hakuna namna utalemba huo wizi wa mzazi kijana kwa sababu yeye anamuokoa mwanae kwa kuumiza mtu mwingine unaona ni sawaSio rahisi hivyo.
Hatuwezi kudhibiti hisia muda wote. Kuna muda hatuna taarifa za kutosha kufanya maamuzi sahihi. Na hakuna ajuaye kesho.
Mzazi mwenye upendo wa dhati kwa mwanaye, anaweza kuiba ili mwanaye apate chakula. Anajua si sahihi, lakini upendo unamsukuma. Hajui anamuumiza kiasi gani anayemuibia.
Mikono inawasha kuandika bro ππΌ
Hisia zangu zinanituma nidate kwako mpendwa mwandishi πHisia acha zituvae kwa gafla lakini
Muhimu ni kuchagua nini tufanye baada ya kuvamiwa na hizo hisia
Ongeza Kasi buda usivue gia kabisa π
View: https://youtu.be/vNey0PR46F4?si=EB9D7BgLecIRzzxf
Hisia zangu zinanituma nidate kwa mwandishi π
Uliniaibisha sana kijana wangu π π πOngeza Kasi buda usivue gia kabisa π
Simtetei mzazi, wewe vaa viatu vyake utauona uzito wa maamuzi yake.Hakuna namna utalemba huo wizi wa mzazi kijana kwa sababu yeye anamuokoa mwanae kwa kuumiza mtu mwingine unaona ni sawa
Huwezi kuhalalisha wizi kwa mtindo huo
Ofcourse mambo yalikwenda muswanoUliniaibisha sana kijana wangu π π π
Vipi ulifanikiwa kubeba π?
πππ turudi kwenye madaOfcourse mambo yalikwenda muswano
Umekula nini leo una vibe kaliiππΌNani kasema ??? πππ
Leo ni kula ngoma tu π₯π₯π₯
Tutakufatiliaaa......π€£Hisia zangu zinanituma nidate kwako mpendwa mwandishi π
mshamba_hachekwiSimtetei mzazi, wewe vaa viatu vyake utauona uzito wa maamuzi yake.
Hatuchagui kutenda jambo kwasababu tu ni sahihi, yapo mengi sana yanayotusukuma.
Ndio maana watu wenye akili wakatunga sheria ili tusijiamulie sana mambo.
Ni sahihi kabisa wakuache aisee,,mimi ndio nilimkumbuka na kuandika uziAcha kunipakazia bhanaa πππ alikuwa Ertugrul Bey
TunakufuatiliaKwamba kuiba kura ni asili ya mwanadamu?
Labda ni asili ya mboga mboga mkuu
Wema na ubaya ni mitazamo tu. Kimsingi kabisa hakuna jema wala baya, kila kiumbe kinapambania uhai wake.mshamba_hachekwi
Narudia hakuna namna utaumiza wengine kwa sababu wewe umeumizwa na ukataka watu waelewe
Vipi huyo uliemuibia tuseme labda ni kiasi cha pesa na kumbe alikua amepanga kumnunulia mtoto wake chakula na yeye
Kwahiyo umemnusuru mwanao kwa kuumiza mtoto wa mwingine hiyo ni sawa huoni ni ubinafsi tena unaoumiza wengine?
Kwa nini usichukue hatua ukaomba
NB : Wizi ni Wizi tu hata ukipakwa rangi kwa sababu huacha maamivu kwa wengine