ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,090
- 47,075
- Thread starter
-
- #261
Shukran mkuuKitu natural pekee ni existence yenyewe sio utendaji wa existence hiyo.
. We are just biological mashine. Ndo maana tuna deteriorate na kufa.
Asante tena pia kwa bandikoShukran mkuu
Asante kwa maoni
Na karibu tena
Sawa mkuuNgoja nikitulia, mwezi huu nahisi nitakuwa busy kidogo
πAsante tena pia kwa bandiko
Nimekaribia
Sio watu wa Mungu aiseeππΌπMatapeli hawana utu aisee
πͺπͺπͺMuhimu afya ipo
Amen mkuu.Piga kazi mkuu mambo yanaweza kua zaidi ya awali
Ni watu wa Mungu ila wameamua kuwa upande wa negativity.Sio watu wa Mungu aiseeππΌπ
Safiiii π₯π₯πͺπͺπͺ
Amen mkuu.
Mungu ni muaminifu, sahivi nakaza zaidi ya mwanzo hope mwaka huu nitafikia malengo.
Ningekua mwanamaombi tungeingia kwenye mfungo 3 kavu tuwaombee pamoja na wewe mtumishiπNi watu wa Mungu ila wameamua kuwa upande wa negativity.
Nafuatilia boss wanguπ€£π€£Usisahau ku share aisieee
Ertugrul Bey anza kufatilia
π€£π€£Na bado hela ya kula ulikua nayo π€£π€£
Mie nilivyotapeliwa nilibaki mtupu sikua hata na piiiii π€£π€£
Safiii umesoma kisa cha mshikajiNafuatilia boss wanguπ€£π€£
Usicheke dah π’π€£π€£
Yep nimesoma aisee sio poa kabisa, watu ni wabaya sanaSafiii umesoma kisa cha mshikaji
Kabla ya kusema nimejifunza nini,lete kisa chako kwanza,naona unarukaruka tu kama pop corn kwenye kikaango, mara mniache mara ipo siku nitaleta story
Kabisa kabisa alicheza kama peleYep nimesoma aisee sio poa kabisa, watu ni wabaya sana
Ila kikubwa aliweza kuhimili hisia zake,maana huenda angepoteza hela pamoja uhuru wake huko uraiani,angekuwa kwenye majumba ya serikali now
Maamuzi ya busara huwa siku zote yanamuacha mtu salama
Niache niko oves π πKabla ya kusema nimejifunza nini,lete kisa chako kwanza,naona unarukaruka tu kama pop corn kwenye kikaango, mara mniache mara ipo siku nitaleta story
Nakufuatilia
Pole inapendeza, jinga hujafikia level hizo ulizidiwa maarifa tu.π€£πWe nipe pole inatosha bana π jinga mimi ππΌπ€£π€£π
Hii ndio ishanipa kuanza kufuatilia msg huwa siwezi sijui kwanini π€£Tulianzia hukooo juu
Ukipitia utaona bro