ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,068
- 47,001
- Thread starter
-
- #241
Muhimu afya ipoFunzo kubwa sana.
At some point ila ningekuwa mbali sana mkuu.
Ningekuwa nalia kivulini baada ya kuchuma juani💔
Wewe nae kaka angu umeokotwa sana 🤣💔Huwa ni hisia tu na mikazo ya mambo, kuna mwingine mwaka 2013 naye sitosahau alinitapeli 600,000 halafu hela ilikuwa ya Mzee wa geti jeusi.
Kilichosaidia tulikuwa tunachati sana kwahiyo messages zote yule mzee aliziona.
Yeah asamehe tu aiseeSema jamaa anakibri sana, hata mimi hapa ingekuwa kazi kusamehe.
Ila jaribu kusamehe mkuu, what comes around goes around.
Unadhani kwanini tunashindwa ku i control?Negative thinking inatuandama kila siku, ni ngumu kui control.
Hapa sasa kuto react kunatokana na uwezo wa mtu kujitulizaCha muhimu zaidi ni kuto react
Kama hisa sio naturalHisia sio natural
Neural science unaendelea kuprove kuwa kila kitu tudhaniacho ni natural kina causation, yaani huwezi kusema una feel kitu bila sababu
Kuna deep subconscious belief inayo sababishwa yote hayo bila wewe kujua
Ila pia mabadiliko ni utambuzi wa hicho chanzo na kuchagua busara despite the triggers
Ni by product ya brain functioning. Ambazo ni mechanical zina causation na triggersKama hisa sio natural
Basi ni nini?
We ugomvi wangu kama wa Baba Ubaya , 😆😆😆Bana siku ya kumalizana nae ni kodi najitolea kurusha ngumi 🔥💪🏻
Kwani hapa mjini unanua bei gani ? 😆😆😆 ?Kwani vitunguu vimeozea shambani🤣
Et Manyanza ?
Kusema hisia ni matokeo ya utendaji wa ubongo hakumaanishi kwamba si sehemu ya asili ya mwanadamuNi by product ya brain functioning. Ambazo ni mechanical zina causation na triggers
Dada ako nae sijapoa tutakiwashaaa🔥🔥We ugomvi wangu kama wa Baba Ubaya , 😆😆😆
Si unajua Kaka ako nilishavuka bonde la mauti?
Mambo ya karma 🤣🤣Kwani hapa mjini unanua bei gani ? 😆😆😆 ?
Sasa kama hapa mjini mpaka kitunguu cha mia , mia 200 kipo huko Shamba sadolin si litakuwa 1000 ?
Huyu tayari kashayakanyaga mbona , Mwarabu alishampiga kunut tayari 😆😆😆
Pole mrembo jamani😔😔Niacheeeeeeee ebooooo🙌🏼
Machozi nimefutaPole mrembo jamani😔😔
Aya futa machozi alafu tuandikie story Yako😊😊🤣
Bhasi nimeacha maana hiki kidonda ni kibichi kabisa😂😂😂Machozi nimefuta
Story siandiki niacheni puliiiiiiiiiiiiiiiiiiiz
Sio kibichi hata we siku nikumbushe nitakupa full storyBhasi nimeacha maana hiki kidonda ni kibichi kabisa😂😂😂
Kitu natural pekee ni existence yenyewe sio utendaji wa existence hiyo.Kusema hisia ni matokeo ya utendaji wa ubongo hakumaanishi kwamba si sehemu ya asili ya mwanadamu
Kitu kuwa na chanzo na kichocheo hakikiondoi kwenye asili yake
Kama uwezo wa kuhisi ni sehemu ya mfumo wa kibaolojia na tabia za msingi za mwanadamu, basi hisia ni sehemu ya asili ya mwanadamu
Huo ni mtazamo wangu
Matapeli hawana utu aiseeMambo ya karma 🤣🤣
Mie matapeli wangu nawaombea kheri
Ngoja nikitulia, mwezi huu nahisi nitakuwa busy kidogoSio kibichi hata we siku nikumbushe nitakupa full story