Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,045
- 828,853
Yani iko hivi microchip ni mbadala wa ATM card scanner, passwords nk... Kila kitu chako kitaunganishwa kwenye hiyo chip ambayo utawekewa mwilini mwako
Kwahiyo popote uendapo au Chochote ufanyacho serikali Itakuwa inakumonitor
Hakutakuwa na kadi za bima ya afya vitambulisho vya taifa passport kadi za chanjo bali ni kachip kadogo tu kalikofungwa mwilini mwako katakuwa na habari zako zote
Mwiba unaingia kwa force wakati microchip inawekwa kwa utaratibu maalum
Mwili wa binadamu nao unatengeneza umemeHivo vi chips vinatumia battery ya saa au?
Vina kaa mda gani mwilini?
Vitawekwa kwa hiari au lazima?
mshana acha uongo bhana, kwahiyo watu tutakuwa tunatembea kama farasi na nira???? another conspirancy.Yani iko hivi microchip ni mbadala wa ATM card scanner, passwords nk... Kila kitu chako kitaunganishwa kwenye hiyo chip ambayo utawekewa mwilini mwako
Kwahiyo popote uendapo au Chochote ufanyacho serikali Itakuwa inakumonitor
Hakutakuwa na kadi za bima ya afya vitambulisho vya taifa passport kadi za chanjo bali ni kachip kadogo tu kalikofungwa mwilini mwako katakuwa na habari zako zote
Ni aina mpya ya utumwa, aina mpya ya kutawaliwa na kufanya hata Yale usiyoyapenda la Sivyo unakufa... Uzazi wa mpango madeni magonjwa nk vitakuwa controlled kutoka huko kwa wenye nguvu
Kwa sasa wengi hawaelewi wala kujitambua kuhusiana na hili lakini kiukweli ni kwamba TUMEKWISHA...!!! Naweka baadhi ya shuhuda hapa ili twende sawaView attachment 312927 usijidanganye kuwa eti wewe hutataka kuwekewa hizo ni ndoto za alinachaView attachment 312928 Si mdogo si mkubwa si tajiri wala maskini wenye nguvu na wanyonge woote hawachomoki View attachment 312930 Kwa sasa ni rahisi mno kujivunia utamaduni wako au utaifa wako au dini yako, lakini Rafiki umeshachelewaView attachment 312931hatutakuwa na uchaguzi tena uhuru wa kujiamulia kutenda bila kuingiliwa na yoyote View attachment 312932
Haya mambo yalianza miaka mingi lakini ikiwa ni siri kubwa kwa wale waliyoyaleta taratibu tukaletewa password halafu zikafuata fingerprints mwishowe wakaja na scanner... Tumeshawekwa vizuri na baadhi yetu tayari wameshawekewa hivi Vitu bila kupenda wa kujua
Madhara yake ni Makubwa sana utakufa bila hata kupigwa risasi, unatumiwa tu virus kwenye chip yako unakauka
Magaidi na watu wabaya hawako nyuma watatumia microchips zisizothibitishwa kufanya yao
Vita ijayo Itakuwa mbaya kuliko vita nyingine yoyote vita ya human microchips wars.... Tutaimaliza dunia kwa mikono yetu wenyewe
Daah mshanaa amakweli wewe ni Google ya jfHili si jambo la leo wala kesho nakubaliana kabisa na nyie, lakini kwa maendeleo haya ya tech ni jambo linalokuja kwa kasi mno..... We are almost there
Tuwe na tafakuri ya karibu zaidi, wale wanaosafiri nje ya nchi na wale wanaoingiaga yale majengo yanayolindwa sana wanaweza kukubaliana nami kuwa zile laser scanner sidhani kama zinatuacha salama
Kama mtu ana uwezo wa kukutumia virus au tracking devices na wakakuua muda unapofika basi jua kuwa hata hili halipo mbali
Viongozi wengi wa Hamas wameuawa kwa njia hii, na wale wengine wanaopingana na sera za marekani na uingereza mmeona vifo vyao au magonjwa yao? Cancer. Nyerere, Hugo Chaves, Yousef? Yule wa Argentina, Yasser Arafat na wengine wengi.. Mugabe wamemkosakosa.... Wale waliokwepa mitego yao ya siri walitafutiwa sababu wakawamaliza kupitia vita... Saddam hussein, Gaddafi na sasa Assad
Ni kwasababu tu hatuchimbui mambo lakini hizi ishu zilianza baada ya vita ya pili ya dunia, Askari wa Vietnam walifanyiwa kitu kinachofanana na hiki, kwahiyo leo hii wamarekani wanapofika kulitoa hili hadharani hawapo kwenye level hii tena...
Daah mshanaa amakweli wewe ni Google ya jf
Mimi nilisikiaga jujuuu tu nikaaminii hivyo vituu havitakua karnee hii ilaa kwa jinsi technology inavyo kuakwa kasii na wazungu wanaifanya cheap...hakya nani.....utasikia mwaka 2025 su 2030 hutaweza kusafiri kwenda us au British bila kufungiwa hivyo vidude...!!
Hivi Vitu vikiisha tolewa hadharani ujue kuwa kila kitu kimeshawekwa sawa na utekelezaji unaendelea na hakuna wa kuwazuia, tumetanguliwa fikra na kila kituHili jambo liliandaliwa miaka mingi iliyopita,bila shaka linahusiana na NEW WORLD ORDER
Ungeendelea tuu mr, lakini sina hakika kama shetani ndie alie asisi utengenezaji wa pombe, ukuzingatia shetani zaidi ya uasi na uongo hamna chochote alicho kifanya au atakachokifanya tangu aumbwe. Kwake yeye anachokipata ni kushindwa tuu.Mkuu karne ya 24 mbali sana kwa muono wangu kumbuka teknolojia tayari ipo longtime ni suala la muda kidogo kwa mfano Tz kwa sasa kuna zoezi la vitambulisho vya uraia, kwa sasa kuna tulio wengi tuko kwenye paperless currency kwa maana ya kwamba unapata salary iliyolipwa online kwa internet banking, unanunua mafuta ya gari lako kwa fuel kadi, unaenda supermarket unalipa kwa Visa/Mastercard so kidogokidogo uchumi wetu unaanza kutokuwa na pesa kwa maana ya makaratasi soon mifumo ya tehama ya kibenki, mifuko ya hifadhi ya jamii, hospital vitambulisho vya taifa, umiliki wa ardhi, driving licence itakuwa centralized na kuna uwezekano mkubwa hii kwa nchi zisizo na uwezo zikapewa msaada (kupitia UN bodies) ili ziweze kuwa na centralized database ambayo ina information za watu wote! So si muda mrefu watakuja na vichip vyao ambazo vipo linked na central database!
Mbona kuna familia za kitajiri ambazo tayari watu wake wamekewa hizo chip kwa maana ya kwamba hata ukiwateka itajulikana wako wapi na hii ni hasahasa amerika ya kusini.
Na hata wanyama wengi ulaya na marekani wamewekewa hizi!
Actually kwa uelewa wangu, microchip hizo ni kama tu chip za simu i.e. unayo chipu ya simu ambayo iko linked na service provider Voda, Tigo nk then unapata mawasiliano, ila hizi ni chip ndogo sana ambazo zinapandikizwa mwili mwa binadamu na ambazo kwa habari zilizopo sehemu nzuri ambapo kwenye mwili zitakaa hizo chip ni kwenye paji la uso au mkononi kiganjani! Inshort kila kitu kipo tayari na utekelezaji ulishaanza na unaendelea kwa kasi sana ila kwa wengine hawajui kitu wao wakiona matigo pesa, vitambulisho vya taifa, mkongo wa taifa na mengine meengi wanatazama upande mmoja tu na shetani naye anapita hapohapo kama ambavyo Mungu kaumba mahindi na tunakula ugali, shetani amemcorrupt mwanadamu anatengeneza pombe! ngoja niishie hapa.
Wapi ilianza hiyo?Yani iko hivi microchip ni mbadala wa ATM card scanner, passwords nk... Kila kitu chako kitaunganishwa kwenye hiyo chip ambayo utawekewa mwilini mwako
Kwahiyo popote uendapo au Chochote ufanyacho serikali Itakuwa inakumonitor
Hakutakuwa na kadi za bima ya afya vitambulisho vya taifa passport kadi za chanjo bali ni kachip kadogo tu kalikofungwa mwilini mwako katakuwa na habari zako zote
mbona yalishatimia zaman tuuKiruu tumekwisha moja Obama kasha I sign hii marekani. Kweli yaliyoandikwa kwenye ufunuo wa Yohana yanatia kitaratibu aise.