View attachment 313069bishana na maandishi basi
Mkuu karne ya 24 mbali sana kwa muono wangu kumbuka teknolojia tayari ipo longtime ni suala la muda kidogo kwa mfano Tz kwa sasa kuna zoezi la vitambulisho vya uraia, kwa sasa kuna tulio wengi tuko kwenye paperless currency kwa maana ya kwamba unapata salary iliyolipwa online kwa internet banking, unanunua mafuta ya gari lako kwa fuel kadi, unaenda supermarket unalipa kwa Visa/Mastercard so kidogokidogo uchumi wetu unaanza kutokuwa na pesa kwa maana ya makaratasi soon mifumo ya tehama ya kibenki, mifuko ya hifadhi ya jamii, hospital vitambulisho vya taifa, umiliki wa ardhi, driving licence itakuwa centralized na kuna uwezekano mkubwa hii kwa nchi zisizo na uwezo zikapewa msaada (kupitia UN bodies) ili ziweze kuwa na centralized database ambayo ina information za watu wote! So si muda mrefu watakuja na vichip vyao ambazo vipo linked na central database!
Mbona kuna familia za kitajiri ambazo tayari watu wake wamekewa hizo chip kwa maana ya kwamba hata ukiwateka itajulikana wako wapi na hii ni hasahasa amerika ya kusini.
Na hata wanyama wengi ulaya na marekani wamewekewa hizi!
Actually kwa uelewa wangu, microchip hizo ni kama tu chip za simu i.e. unayo chipu ya simu ambayo iko linked na service provider Voda, Tigo nk then unapata mawasiliano, ila hizi ni chip ndogo sana ambazo zinapandikizwa mwili mwa binadamu na ambazo kwa habari zilizopo sehemu nzuri ambapo kwenye mwili zitakaa hizo chip ni kwenye paji la uso au mkononi kiganjani! Inshort kila kitu kipo tayari na utekelezaji ulishaanza na unaendelea kwa kasi sana ila kwa wengine hawajui kitu wao wakiona matigo pesa, vitambulisho vya taifa, mkongo wa taifa na mengine meengi wanatazama upande mmoja tu na shetani naye anapita hapohapo kama ambavyo Mungu kaumba mahindi na tunakula ugali, shetani amemcorrupt mwanadamu anatengeneza pombe! ngoja niishie hapa.
Implementation of nano technology ni kitu cha kawaida kuna hadi dawa as of right now zina chip zinaweza kuwa tracked tumboni na jinsi zinavyo fanya Kazi mwilini. Ambacho sikubaliani ni kuhusisha hii technology na conspiracies za Freemasons,(nwo)
Bado watu wanaamini hizi fairy tales smh!!
Kaangalie agent x ndo utajua dunia ilipo na inaelekea wap
Hii ni faida kwa kweli kubeba ATM card ni mzigoYani iko hivi microchip ni mbadala wa ATM card scanner, passwords nk... Kila kitu chako kitaunganishwa kwenye hiyo chip ambayo utawekewa mwilini mwako
Kwahiyo popote uendapo au Chochote ufanyacho serikali Itakuwa inakumonitor
Hakutakuwa na kadi za bima ya afya vitambulisho vya taifa passport kadi za chanjo bali ni kachip kadogo tu kalikofungwa mwilini mwako katakuwa na habari zako zote
ukibisha kuwekewa na ukizingatia wana umiliki mkubwa....itakuwa hupandi ndege/treni zao,hupati huduma za hosp,hotel,shule,benki,madukani,N.K.
Afu tuone mtaishi vipi ikizingatia serikali yako ndio nayo itakuwa wakala mkuu
Mama esta hata mlokole hakwepi hii microchip nakumbuka 2012 niliwahi kuambiwa na mtu wa BOT kuwa wanampango wa kila mtu mwenye account kuwa na hii microchip kwenye paji la uso au mkononi badala ya ATM card.huko tuendako nasikia kutakuwa na supermarket basi mfano ukitaka kununua kitu hawapokei cash ni kwa mfumo huu wa kupitia microchips kwa hiyo ili upate Huduma itakubidi tu.na mahospitalini hvyo hvyo na kwenye usafiri pia.alafu ukumbuke kuwa kama ni mfanyakazi mshahara wako utaingiziwa kwenye bank na lazima utautoa kupitia microchip... Kwa hiyo mama esta ili upate huduma lazima uwe na microchip aka nembo ya yule mnyama mwenye tarakimu 666 ufunuo 13:13kuokoka ndo mpango mzima.wewe UNA's had a did "kupunguza idadi ya watu ili kutengeneza NWO jehanam inakuhusu
Badooooo!!!.... Sanaaaaa!!....Yani iko hivi microchip ni mbadala wa ATM card scanner, passwords nk... Kila kitu chako kitaunganishwa kwenye hiyo chip ambayo utawekewa mwilini mwako
Kwahiyo popote uendapo au Chochote ufanyacho serikali Itakuwa inakumonitor
Hakutakuwa na kadi za bima ya afya vitambulisho vya taifa passport kadi za chanjo bali ni kachip kadogo tu kalikofungwa mwilini mwako katakuwa na habari zako zote
Nimecheka kwa sauti mpaka mama kanitukana ananiambia hilo lisimu linakuharibuSiku hizi nikimkuta mtu ameshika simu ya touch halafu anacheka pekeyake sishangai tena

Mhh hadi mwananchi wa kule namtumbo au hemshitu awekewe hii chip itakuwa sio Leo au kesho. Nadhani by then tutakuwa mbinguni tukaifaidi na malaika
nimekuelewaa mkuu
Ni aina mpya ya utumwa, aina mpya ya kutawaliwa na kufanya hata Yale usiyoyapenda la Sivyo unakufa... Uzazi wa mpango madeni magonjwa nk vitakuwa controlled kutoka huko kwa wenye nguvu
Kwa sasa wengi hawaelewi wala kujitambua kuhusiana na hili lakini kiukweli ni kwamba TUMEKWISHA...!!! Naweka baadhi ya shuhuda hapa ili twende sawaView attachment 312927 usijidanganye kuwa eti wewe hutataka kuwekewa hizo ni ndoto za alinachaView attachment 312928 Si mdogo si mkubwa si tajiri wala maskini wenye nguvu na wanyonge woote hawachomoki View attachment 312930 Kwa sasa ni rahisi mno kujivunia utamaduni wako au utaifa wako au dini yako, lakini Rafiki umeshachelewaView attachment 312931hatutakuwa na uchaguzi tena uhuru wa kujiamulia kutenda bila kuingiliwa na yoyote View attachment 312932
Haya mambo yalianza miaka mingi lakini ikiwa ni siri kubwa kwa wale waliyoyaleta taratibu tukaletewa password halafu zikafuata fingerprints mwishowe wakaja na scanner... Tumeshawekwa vizuri na baadhi yetu tayari wameshawekewa hivi Vitu bila kupenda wa kujua
Madhara yake ni Makubwa sana utakufa bila hata kupigwa risasi, unatumiwa tu virus kwenye chip yako unakauka
Magaidi na watu wabaya hawako nyuma watatumia microchips zisizothibitishwa kufanya yao
Vita ijayo Itakuwa mbaya kuliko vita nyingine yoyote vita ya human microchips wars.... Tutaimaliza dunia kwa mikono yetu wenyewe
Mama esta hata mlokole hakwepi hii microchip nakumbuka 2012 niliwahi kuambiwa na mtu wa BOT kuwa wanampango wa kila mtu mwenye account kuwa na hii microchip kwenye paji la uso au mkononi badala ya ATM card.huko tuendako nasikia kutakuwa na supermarket basi mfano ukitaka kununua kitu hawapokei cash ni kwa mfumo huu wa kupitia microchips kwa hiyo ili upate Huduma itakubidi tu.na mahospitalini hvyo hvyo na kwenye usafiri pia.alafu ukumbuke kuwa kama ni mfanyakazi mshahara wako utaingiziwa kwenye bank na lazima utautoa kupitia microchip... Kwa hiyo mama esta ili upate huduma lazima uwe na microchip aka nembo ya yule mnyama mwenye tarakimu 666 ufunuo 13:13