Human microchips analysis

Human microchips analysis

Its amazing watu wanamawazo finyo kama haya karne hii. Kaxi ipo .
 
Its amazing watu wanamawazo finyo kama haya karne hii. Kaxi ipo .

Ninayo hakika hujui Ulimwengu umetoka wapi uko wapi na unaenda wapi... Umsomaji mzuri wa mtandao lakini husomi vyenye kufikirisha bali vinavyokupa starehe ya mwili, hili ni tatizo la wengi kama taifa na ndio maana magazeti ya ya udaku na mitandao ya mambo ya ngono umbea na starehe vina washabiki wengi sana
 
Population reduction program, haikwepeki na kwa afrika ni rahis sana kwa SBB "Uzungu kwetu ni fasheni na ishara ya kuwa mtu uliyeendelea"
 
Mshana Jr,wengi duniani bado wako gizani.Hawa watu ni hatari kuliko tunavyodhani.Kwa kweli nilianza kujenga mashaka na hizi chanj...! zao nashukuru nimeshaujua ukweli.Vipi na magonjwa haya:AIDS,SARS,EBOLA,SWINE FLU na BIRD FLU ni nature au man made?
 
Ni kweli kabisa, haya magonjwa kuna conspiracies nyingi sana kuyahusu hasa ukimwi, wazungu ni washenzi kuliko tunavyodhani
 
Yani iko hivi microchip ni mbadala wa ATM card scanner, passwords nk... Kila kitu chako kitaunganishwa kwenye hiyo chip ambayo utawekewa mwilini mwako
Kwahiyo popote uendapo au Chochote ufanyacho serikali Itakuwa inakumonitor
Hakutakuwa na kadi za bima ya afya vitambulisho vya taifa passport kadi za chanjo bali ni kachip kadogo tu kalikofungwa mwilini mwako katakuwa na habari zako zote

Ndo nimepata picha!!
 
Halafu kuna suala lingine linanipa utata kidogo.Kuna hili tatizo la AUTISM ambalo kwa kweli limekua worldwide disaster.Hebu Mshana Jr nisaidie hapa,hawa jamaa hawana mkono wao katika hili? Kwa uchokonozi wangu nimegundua kuwa wazungu ni watu hatari sana duniani. Wako nyuma ya hujuma nyingi sana dhidi ya binadamu wenzao.Vipi hii Autism,sio matokeo ya mipango yao? Karibu Mkuu!
 
Hao ndo mason bana chini ROCKAFELA ambae ndo founder wa hizo chip hii dunia ili uelewe inaendaje tumia akili y kuzaliw kwanza afu kuambiw baadae
 
They manufacturin heavy weapon.wataziuza wapi km dunia ina aman hvyo lazma kuwe n vita especially blessed place km mid east.civil war halafu wao wanachota tu kiulaiini hawa jamaa magenious sisi waafrika akili tunazo ni kupanda miti tu na sex km alivosema donald trump
 
Halafu kuna suala lingine linanipa utata kidogo.Kuna hili tatizo la AUTISM ambalo kwa kweli limekua worldwide disaster.Hebu Mshana Jr nisaidie hapa,hawa jamaa hawana mkono wao katika hili? Kwa uchokonozi wangu nimegundua kuwa wazungu ni watu hatari sana duniani. Wako nyuma ya hujuma nyingi sana dhidi ya binadamu wenzao.Vipi hii Autism,sio matokeo ya mipango yao? Karibu Mkuu!

Aisee hili nipe muda nilifanyie kazi, binafsi sijawahi kuwaamini wazungu hata mara moja na nawachukia
 
Mwili wa Binadamu hauwezi kukaa na kitu artificial ndani yake mfano Mwiba tu ukiingia mwilini lazma mwili u-respond kwa kuvimba na kuuma sana je hiyo cheep itaeweza kweli kukaa Haitowezekana hiyo mshana jr
 
Last edited by a moderator:

Mwiba unaingia kwa force wakati microchip inawekwa kwa utaratibu maalum
 
Last edited by a moderator:
Mwili wa Binadamu hauwezi kukaa na kitu artificial ndani yake mfano Mwiba tu ukiingia mwilini lazma mwili u-respond kwa kuvimba na kuuma sana je hiyo cheep itaeweza kweli kukaa Haitowezekana hiyo mshana jr

Na vp khs wale wanaotumia vijiti kuzui mimba?, we bn ee mzungu huwa hashindwi bn
 
Last edited by a moderator:
Hapana ndugu yangu Mamaya mimi ni mkristo mlutheri
mshana jr haya mambo naona wasabato wanayahubiri kweli kweli,kisha wanafanya refence kwenye vitabu vya yule mama hellen , kisha waanza kuilink na kanisa katoliki kisha wanamalizia na papa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom