Wabongo kwenye ubora wao.. hehehe upuuzi tu hakuna kitu hapo.
Sio kila kinachoandikwa kwenye internet ni kweli. Ila watanzania wengi walivyo wapumbavu kichwani hawawezi kulielewa hili. Mshana ukifungua shule utapiga hela sana kwa kua kama kiongozi wa wajinga.
Hizi conspiracy za microchips tumezisoma online toka 1999 enzi hizo wengi wenu hata hamjajua internet ni nini. Leo hii miaka 17 baadaye tumesoma technology tukaelimika, tunajua huu ni upuuzi, bado na mtasubiri sana huku mnakufa njaa, endeleeni kujipa moyo.