Human microchips analysis

Human microchips analysis

Ni lazima hiyari?
Ilianzia kwa watoto kutokana na wengi wao kutekwa ama kupoteza ikaja kwa wafanyakazi wanaofanya kwenye sensitive organs za serikali huko mbeleni itakuwa ni kitu cha lazima
 
Hahahaha!side affects wamezingatia?maana mwilini kwa binadamu maji na damu pekee ndiyo huongezwa.
 
Laiti kama mngalitambua leo yale yaletayo amani, lakini sasa yamefichika msiyaone. maana siku zinakuja maadui zenu watakuzungushia ukuta na watawazingila na kukuvamia kutoka pande zote hawatakuachia hata jiwe moja likisimama juu ya jiwe jingine watawaangamiza humo wewe na watoto wako kwasababu hamkuutambua wakati uliofaa
 
Hii kitu ni ukweli mtupu, mchungaji alihubiri kanisani kwetu Sabato wengi hawakumuelewa, pia asilimia kubwa ya watu hawapo tayari kuambiwa ukweli. Wanataka wadanganywe lakini hii kitu ni kweli bila chenga kabisa
 
TE="mama esta, post: 14958178, member: 340475"]kuokoka ndo mpango mzima.wewe UNA's had a did "kupunguza idadi ya watu ili kutengeneza NWO jehanam inakuhusu[/QUOTE]
Hata kanisani napo sio salama sadaka kwa M-pesa Tigo pesa nayo ni mpango ule ule wa new world older
 
kuokoka ndo mpango mzima.wewe UNA's had a did "kupunguza idadi ya watu ili kutengeneza NWO jehanam inakuhusu

kitu anachosema mshana jr bado kipo Kwenye hatua za awali na bado hakijaonyesha dalili za kufanikiwa. itachukua miaka mingi sana kwa hili kutimia, na naomba nimuhakikishie mshana Jr, dawa za ukimwi(kutibu na kupona)itakuwa imeshapatikana miaka mingi nyuma kabla ya hili la microchips kutimia.
 
Hahahahahahha it's better to accept the reality rather than hanging yourself to death cause it's also a big sin to end your precious life so easy...
But what the life will mean?...to be slave while u know ur are gonna be the f*cking slave...to bow and worship the f*cking devil openly without your desire hell nah!

It better to terminate my life peaceful rather than suffering in the world of mess there.

Before doing I'll make reconciliation with my creator ,the GOD through his precious son JESUS CHRIST .

Then suicide will be the best answer at that time.
 
Being slave saving the devil and ending your life is a same thing...our Bible tells us that we have been created by God and our lives lies on his hands only, we're not allowed to take it off
So to reconcile with God won't help a thing..instead you need to pray hard, have faith and God will do the rest...
 
Hivi Vitu vikiisha tolewa hadharani ujue kuwa kila kitu kimeshawekwa sawa na utekelezaji unaendelea na hakuna wa kuwazuia, tumetanguliwa fikra na kila kitu

Mshana junior, tafuta movie inaitwa police assassin(1986)
Ilianzia kwa watoto kutokana na wengi wao kutekwa ama kupoteza ikaja kwa wafanyakazi wanaofanya kwenye sensitive organs za serikali huko mbeleni itakuwa ni kitu cha lazima
 
mshana junior,,, tafuta movie inaitwa police assassin(1986) story yake inahusu microchip.
 
mshana junior,,, tafuta movie inaitwa police assassin(1986) story yake inahusu microchip.

Hizo ndy hirizi za kisasa badala ya zile za kwetu .......
Kwenye replies zilizotangulia kuna watu wamenicrush kweli kwamba eti hivi ni vitu vya kufikirika na kuchota mitandaoni visivyo na chembe ya ukweli
 
Kwenye replies zilizotangulia kuna watu wamenicrush kweli kwamba eti hivi ni vitu vya kufikirika na kuchota mitandaoni visivyo na chembe ya ukweli
Asiyekubali aendelee ila asubiri kuwekewa hata kwa lazima, itakuwa ni Sera za kimataifa katika kulinda maslahi yao mfn. Issue za ugaidi na mambo ya uhalifu wa kimataifa watakabiliana nao namna gani, kwa njia kama hizi yaani binadamu wote wawe monitored. Kama wanataka kuamini Sera za uzazi wa mpango, a.k.a Nyota ya kijani aliletwa na Nani? Leo watu hawawekewi vipandikizi kuzuia mimba? Chanjo za watoto n.k, leo kupata license unawekwa kwenye data base, kitambulisho cha kura kwenye data base, nk
 
Kwa mfn.Sera za ndani za Marekani na UK na mataifa mengine makubwa wakisema kwamba hakuna RAIA wa kigeni kuingia nchini mwao bila kuwa na microchip hamtaweka? Na mnavyopenda kwenda marekani ahahahah!! Kipindi kile cha miaka ya 80-90 watu wangapi walizuiwa kwenda ulaya kwa TB na HIV? Ile ilikuwa ni njia ya kutufanya tuwe stigmatized na mataifa yaliyoendelea ili tulilie misaada ya kukabiliana na gonjwa hili ili waweze kupata upenyo wa kuendelea kutuburuza
 
Kwa mfn.Sera za ndani za Marekani na UK na mataifa mengine makubwa wakisema kwamba hakuna RAIA wa kigeni kuingia nchini mwao bila kuwa na microchip hamtaweka? Na mnavyopenda kwenda marekani ahahahah!! Kipindi kile cha miaka ya 80-90 watu wangapi walizuiwa kwenda ulaya kwa TB na HIV?
Watu wanapingana tu na hili bila kujua kuwa lilishaanza siku nyingi mdogomdogo
 
Back
Top Bottom