NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Nullpointer ni term inayotumika kwenye Sayansi ya Computer na C++ ni moja ya object oriented language katika sayansi ya computer hivyo nafikiri ni mtaalamu wa computer...aliyeleta wazo la kuhifadhi data kwa kutumia computer badala ya files za kawaida,alipingwa sana kwasababu kiuhalisia wakati huo walikuwa hawahui ni kwa namna gani itawezekana ila ilikuja kuwezekana.So hata hiyo microchip itawezekana na DW,BBC hata yahoo wameandika kuhusu hilo na maonesho ya Hannover hiyo tech. wameionesha pia.Itawezekana tu labda kifo tu ndo kitawashinda mkama cell of living organism wana-uwezo wa kumtengeneza why microchip
Mkuu a microchip sio kwamba hakuna, hata chips nyingi zilizopo kwenye simu na electronics devices nyingi tunaweza ziita microchip based on their sizes, sema sio microchip ya kumcontrol mtu ubongo, hiyo hakuna kampuni inaweza tengeneza, technology haijafikia hapo, ubongo wenyewe hatujui vizuru unavyofanya kazi leo hii useme tumgeuze binadamu kua robot. Wajinga ndio wanaliwa daily...
Sio kila neno microchip means a brain controlling bug ambayo inaletwa sijui na shetani gani, hehehe! Biblia naona watu wameishika vibaya. Hii story nimeanza kuisikia miaka 16 iliyopita, bado hawajawapa watu hizo microchips au tayari wanawacontrol brain hamjui. Hehehe! Em tuache ujinga sasa turudi kwenye reality