Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 299,604
- 752,011
Ni aina mpya ya utumwa, aina mpya ya kutawaliwa na kufanya hata Yale usiyoyapenda la Sivyo unakufa... Uzazi wa mpango madeni magonjwa nk vitakuwa controlled kutoka huko kwa wenye nguvu
Kwa sasa wengi hawaelewi wala kujitambua kuhusiana na hili lakini kiukweli ni kwamba TUMEKWISHA...!!! Naweka baadhi ya shuhuda hapa ili twende sawa
usijidanganye kuwa eti wewe hutataka kuwekewa hizo ni ndoto za alinacha
Si mdogo si mkubwa si tajiri wala maskini wenye nguvu na wanyonge woote hawachomoki
Kwa sasa ni rahisi mno kujivunia utamaduni wako au utaifa wako au dini yako, lakini Rafiki umeshachelewa
hatutakuwa na uchaguzi tena uhuru wa kujiamulia kutenda bila kuingiliwa na yoyote
Haya mambo yalianza miaka mingi lakini ikiwa ni siri kubwa kwa wale waliyoyaleta taratibu tukaletewa password halafu zikafuata fingerprints mwishowe wakaja na scanner... Tumeshawekwa vizuri na baadhi yetu tayari wameshawekewa hivi Vitu bila kupenda wa kujua
Madhara yake ni Makubwa sana utakufa bila hata kupigwa risasi, unatumiwa tu virus kwenye chip yako unakauka
Magaidi na watu wabaya hawako nyuma watatumia microchips zisizothibitishwa kufanya yao
Vita ijayo Itakuwa mbaya kuliko vita nyingine yoyote vita ya human microchips wars.... Tutaimaliza dunia kwa mikono yetu wenyewe