Hulka ya binadamu ni kufurahia anguko /matatizo ya wengine

Hulka ya binadamu ni kufurahia anguko /matatizo ya wengine

Japo in hulka ya wengi lakini wabongo tumezidi Haiingii akilini MTU mwenye elimu kiwango cha PhD kufanya upuuzi unaofanywa na std v.Watu kama Tulia,Mwakyembe,Lipumba jata bosi wao unashindwa kuelewa kama hizo shule zilikuwa no msaada kwao au balaa tupu.
Haujalishi umebukua mabuku mangapi na kupata madaraja mangapi cha muhimu ni hiki! Je umeelewa kiasi gani?
 
binadamu wengine wana roho za kishetani mnoo!!

Ila mi nasema hata ukifurahia anguko lake hutakuwa kama yeye hata siku moja
 
Back
Top Bottom