Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Hivi sheria inaruhusu kusoma hukumu usiku huu??? Hizo ni njama za CCM kutaka kuchakachua hukumu hiyo kisha wanaCDM wasiwe wengi pale mahakamani maana wanajua mahakama haitatenda haki
 
Hii hukumu ya Bihalamulo nadhani imebadilishwa, kwani hakuna sababu za kuichelewesha namna hii. Huenda jaji alikuwa ametupilia mbali madai ya walalamikaji, sasa ameambiwa atakiona cha mtema kuni iwapo naye ataendeleza wimbi hilo la kuiangusha CCM, ama alikuwa ametoa hukumu ya ki-Arusha-Arusha lakini baada ya kugundua kuwa majaji wenzake wanatoa hukumu za tofauti akaamua naye abadili kwendana na sawa na majaji wenzake. Uamuzi wowote utakaotolewa leo unaweza kuwa umefikiwa katika hizi dakika za mwisho mwisho tu.
 
Tatizo jingine ni wanaJF walioko huko ... hawatupi updates za hukumu hiyo. Maana kama inasomwa si kuna hoja zinajibiwa? Hoja ziko ngapi na mwenendo wa hoja hizo ni upi? Zipi zimetupwa nje na zipi zimekubalika?
 
Mbasa imekula kwake, jimbo linaelekea ccm, amini usiamini

Jimbo linaelekea c.c.m kwani mahakama ndio wanaoweka mbunge??wananchi wa jimbo husika ndio wanaochagua mbunge wao,na kwa Biharamulo hata warudie mara kumi,c.c.m chali!
 
Hivi sheria inaruhusu kusoma hukumu usiku huu??? Hizo ni njama za CCM kutaka kuchakachua hukumu hiyo kisha wanaCDM wasiwe wengi pale mahakamani maana wanajua mahakama haitatenda haki

yes, kumbuka kesi ya serikali dhidi ya TUCTA/CWT kupinga mgomo wa wafanyakazi ama walimu ambapo hukumu iliyolewa saa tatu usiku na kwa mara ya kwanza jaji akawaruhusu wapiga picha wa TV kurekodi hukumu yake yote kitu ambacho sio kawaida.
 
Looding.......Hivi Shomire na ujanja wao wanshindwa updated kihivi kweli loh....Looding!
 
taarifa za kuaminika ni kwamba,bado wapo mahakamani na kunambinu za kumuangusha mbasa.kwani jinsi walivyosogeza muda hadi wananchi wanashanga na wameanza kujipanga soure toka kwa mwananch number 0784638491
 
Looding.......Hivi Shomire na ujanja wao wanshindwa updated kihivi kweli loh....Looding!

halafu biharamulo wanatokea wakiziba. wale jamaa wanajifanyaga wanajuwa kila kitu, wanatembea na simu za mchina mbili zote kashikilia huku na huku, hafu mkono mmoja pia kakamatia na sigara, hafu mezani Safari, hafu jua kali dar es salaam kapiga suti.

shemejiiiiiiiiii
 
yes, kumbuka kesi ya serikali dhidi ya TUCTA/CWT kupinga mgomo wa wafanyakazi ama walimu ambapo hukumu iliyolewa saa tatu usiku na kwa mara ya kwanza jaji akawaruhusu wapiga picha wa TV kurekodi hukumu yake yote kitu ambacho sio kawaida.

Ok. Nimeambiwa kuwa Jaji aliondoka Bukoba kwa kuchelewa na njiani barabara inatengenezwa so usafiri ulikuwa wa shida sana. Amefika saa 8.00 mcahana.
 
Naenda kulala, ntarudi saa sita usiku I hope hukumu itakuwa bado inaendelea.
 
Duh! sasa ni 2018hrs, bado tu!!

Wahaya na mbwembwe zote mmekosa cha kusema!!
 
Back
Top Bottom