Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Hukumu ipo na inaendelea kusomwa. Nipo Songea lakini ninamawasiliano na watu mahakamani.
 
Jamani nina mashaka; maana jicho la kushoto linancheza sana, yawezekana mtoa mada kavamiwa; hakuna mwenye mawasiliano naye kwa namna nyingine tofauti na kupitia JF?
 
Hukumu bado inasomwa!!hadi saa tatu hii?au wanahesabu kura upya?hata kama ni hivyo si mtupe matokeo ya vituoni basi?
 
ina maana hakuna mtoa taarifa mwenye ndugu, jamaa, rafiki pale biharamulo
 
Hapo wakimng'oa mbasa lazima kuna namna Jaji aachie ngazi.HUU NI UHUNI KTK HUU MHIMILI.
 
Back
Top Bottom