Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,360
Hatimaye mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu ( African Court of Human and Peoples Right) itasoma hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa chama cha Democratic Party Kesho jijini Arusha. Kisheria hukumu hiyo ilkuwa itolewe uamuzi ndani ya siku 60 baada ya mawakili kufunga hoja zao. Pamoja na kuwa siku hizo zilipita lakini bado mahakama hiyo imeendelea kupata ligugumizi kuhusu suala hilo mpaka hivi karibuni rasimu ya katiba ilivyotolewa.