Hukumu kesi ya Mchungaji Mtikila Mahakama ya Afrika kusomwa Kesho

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,359
Hatimaye mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu ( African Court of Human and Peoples Right) itasoma hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa chama cha Democratic Party Kesho jijini Arusha. Kisheria hukumu hiyo ilkuwa itolewe uamuzi ndani ya siku 60 baada ya mawakili kufunga hoja zao. Pamoja na kuwa siku hizo zilipita lakini bado mahakama hiyo imeendelea kupata ligugumizi kuhusu suala hilo mpaka hivi karibuni rasimu ya katiba ilivyotolewa.
 
Hiyo ni kesi gani tena? hebu tukumbushe mkuu. Huyu jamaa huwa anafungua kesi nyingi sana mahakamani.
 
Baada ya mahakama za ndani kumzingua kuhusu mgombea Binafsi akafungua kesi mahakama ya afrika ya haki za Binadamu. Mahakama hiyo ipo Arusha Tanzania
 
Kama na hii mahakama ya Arusha ilikuwa ina by time, kumbe haifai kabisa. Yaani inapata maelekezo toka kwa wanasiasa?

NDIYO maana hawaitaki ile ya The Hague kwani kwao inakuwa ngumu kui-control! Wanataka waanzishe yao ya kuwahukumu wao hapo Arusha-This is ridiculous eeh! Nyambafu kabisa.
 
Mtikila kaiburuza serikali tena mahakama ya Afrika!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama na hii mahakama ya Arusha ilikuwa ina by time, kumbe haifai kabisa. Yaani inapata maelekezo toka kwa wanasiasa?

NDIYO maana hawaitaki ile ya The Hague kwani kwao inakuwa ngumu kui-control! Wanataka waanzishe yao ya kuwahukumu wao hapo Arusha-This is ridiculous eeh! Nyambafu kabisa.

Kabisa ndugu yangu hiyo ni mahakama mshenzi tu hazina tofauti na hizo mahakama kuu za nchi husika kwani zote zinaminya haki na kupata ugonjwa wa kigugumizi. Zinakalia kesi wee mpaka zipime upepo wa kisiasa kwanza unakoelekea. Ndio maana unaona akina UhuRuto walikuwa wanataka kesi yao iletwe huko kwani wanajua mambo yenyewe ni utelezi kwenda mbele..(Ki-Afrika Afrika staili tu). Mimi nasema mambo yote ni the Hague tu...huko ndio tunajua mbivu na mbichi ni zipi kwani hakuna cha kujuana kule.
 
Mwanaharakati huyu ameanza kudai kuruhusiwa mgombea binafsi muda mrefu sana ila ni kuda wake maana inabidi adai fidia ya gharama za kuendesha kesi hiyo. Kinachinishangaza ni kushindwa kwake kuwa msaada kwa chama chake na taifa kwa ujumla. This is ze comredy.
 
Hatimaye mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu ( African Court of Human and Peoples Right) itasoma hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa chama cha Democratic Party Kesho jijini Arusha. Kisheria hukumu hiyo ilkuwa itolewe uamuzi ndani ya siku 60 baada ya mawakili kufunga hoja zao. Pamoja na kuwa siku hizo zilipita lakini bado mahakama hiyo imeendelea kupata ligugumizi kuhusu suala hilo mpaka hivi karibuni rasimu ya katiba ilivyotolewa.

Ni muda sasa Serikali ya Tanzania haijaonyesha kuheshimu utawala wa Sheria ,baada ya hukumu hii.
Inawezekana wameshapitisha rupia maana simsikii Rev.C.R.Mtikila akizungumzia hukumu hii.Waliokaribu naye tafadhali mkubusheni maana kuna faida kwenye hukumu hii hasa wale watakao sumbuliwa na Vyama vyao.

CC. Pasco na wengineo.
 
Last edited by a moderator:

mmmh what dyu mean?
 
Hatimaye mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu ( African Court of Human and Peoples Right) itasoma hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa chama cha Democratic Party Kesho jijini Arusha. Kisheria hukumu hiyo ilkuwa itolewe uamuzi ndani ya siku 60 baada ya mawakili kufunga hoja zao. Pamoja na kuwa siku hizo zilipita lakini bado mahakama hiyo imeendelea kupata ligugumizi kuhusu suala hilo mpaka hivi karibuni rasimu ya katiba ilivyotolewa.
Mtikila naye hana jipya,mambo yake ni yale yalle,haeleqeki huyooq
 
Weka hoja wewe acha bangi zako humu ndani.

Mimi na wewe mvuta bangi nani?
Yaani hata wiki haijaisha toka ujiunge tayari unaanza na kauli hizi!
Kweli vijana wa siku hizi sidaa!

Rev. Christopher Mtikila won the Case against the United ...

The Court by majority ruled that the Government of the United Republic of Tanzania has violated Articles 2, 3, 10 and 13(1) of the Charter. Therefore, the Court directed the United Republic of Tanzania to take constitutional, legislative and all other necessary measures within a reasonable time to remedy the violations found by the Court and to inform the Court of the measures taken.
 
Iwe wiki au mwezi au miaka haijalishi wewe bangi tupu kichwani humo

Sasa nimekulewa nilidhani ni bangi za Kawaida kumbe ni ya Mtaa wa Lumumba!
Hongera Dada, Kaka.mama,baba nadhani mabibi na akina Babu siyo rahisi muda huu kuwa JF.

Mkuu Pasco usisahau kuwatonya wapambe wa Kipenzi chako Raisi Mtarajiwa kumwezesha Mch.Mtikla kufufua uamuzi huu wa Mahakama ya Africa-ili wengine tupate ahueni na lakini unafuu kwa Kipenzi chako maana kwa jinsi akina Nape,Kinana na JK wanavyompelekea mashambuzi mwisho wasiku nguvu zake zote zitapotea bure kama chama itamtosa.
 
We endelea kubashiri tu coz bangi zako zinakuruhusu kufanya hivyo wala ckushangai.
 
Mkuu Pasco usisahau kuwatonya wapambe wa Kipenzi chako Raisi Mtarajiwa kumwezesha Mch.Mtikla kufufua uamuzi huu wa Mahakama ya Africa-ili wengine tupate ahueni na lakini unafuu kwa Kipenzi chako maana kwa jinsi akina Nape,Kinana na JK wanavyompelekea mashambuzi mwisho wasiku nguvu zake zote zitapotea bure kama chama itamtosa.
Mkuu MPKalix2, naifuatilia kwa karibu hii kitu, ila 'jamaa yangu' ni mtaji, CCM wakimtosa ni kama kuchezea shilingi chooni!, kwa UKAWA hiyo ya CCM kumtosa ni kuvuja kwa pakacha!, wanaingia ikulu kiulani kama kumsukuma mlevi!.

Anayepeleka mashambulizi ni vuvuzela tuu, jamaa ndio mpango wa JK, hizo kelele zote za JK, ni zuga tuu, kupotezea maboya!, hawa watu wametoka mbali, hawajakutania barabarani!.

Pasco
 
Back
Top Bottom