- Feb 10, 2006
- 4,234
- 13,422
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia kwa Masharti ya kutokufanya kosa kama hilo ndani ya Mwaka mmoja,
Huu ndio ukweli unaofichwa, kuna watu kadhaa wanatumia JF lakini wanafurahia unyama huu na wanaunga mkono, nakaribia kuishiwa uvumilivu siku chache zijazo nitawataja waziwazi, nitakaowakwaza wanisamehe, hatuwezi kufuga majini ndani ya chupa, iko siku yatachoropoka na kuanza kula watoto.kuna mwenye hamu na CCM?! Mwanakijiji, Pascal Mayala tunatumia jukwaa moja huku mkiunga mkono watesi
Hakika umenena mkuu!Sipendi kuongelea content ya kesi, ila niseme tu: Safari itaendelea, maisha yataendelea na hakuna kurudi nyuma. Milima, mabonde, mitikisiko n.k. havina budi kutokea - tutapimwa mwishoni kwa kusimama imara kwetu katika mawimbi haya.