Huku raisi wa awamu ya 5 anaapishwa, kule Arsenal yapigwa 5 na Bayern!

BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,267
2,041
Acha kabisa kufanya mchezo na Bayern! Arsenal si walijifanya kupapasa masharubu ya Bayern pale Emirates kumbe nao wanawalia taiming pale Munich!

Tano si mchezo!

LOWASSA 0 - 5 MAGUFULI
 
We tatizo lako nini?,hizo 5 umefungwa wewe?, embu nenda kajisomee baadae una mtihani wa civics sisi wajomba zako tupo mapumziko leo.

ARSENAL utawajua tu....hahahaaaa!!
Poleni sana watani zangu,ndio Soka lilivyo.
 
Back
Top Bottom