Huku ndio ushenzini kwetu

Huku ndio ushenzini kwetu

Teheeeee tambaa mdogo mdogo kama unasikiliza simu na network mbaya...
 
Jamani si umeshakuita ushenzini we unafikiri watu kama hao watakosekana.
 
Khaaaa pole,miaka ya 90,pale ilipo WB Mkapa EPZ kulikuwaga na bar kubwa sana ilikuwa inauza na kitu moto,miaka hiyo ujana ndo upo 100%.no majukumu. Nikiwa pale hiyo siku wakaja madada kama 4 hivi mmoja wao ni kitu sio mchezo,basi mwana nikatupa ndoana,binti akasema poa aina shida ila sisi atujala,wakaagiza kilo 2 na nusu wakati wanasubiria nyama wakaagiza vinywaji aisee huezi amini mpaka nyama inaletwa wameshakunywa kama elf30,henzi hizo line ya voda elfu ishirini so pata picha.
Mimi nikaona hawa dawa yao ni kuwafundisha ,so nikaamua kualisha zoezi mpaka keaho yake,mpaka nnaondoka pale laki ilishapotea.....kesho yake mida ya saa 11 jioni akanipigia simu ,anasema wameshafika na leo wapo na mjomba yao,ametoka mwanza na kwakuwa mgeni awawezi mwacha home peke ake,nikamwambia poa anzeni ti kwa bill mimi ntawakuta.....wakaanza kunywa,wakanywa wee mpaka saa 12 na nusu wameshakunywa vinywaji vya elfu 80, nikasema sawa sawa....nikamuliza mmeshakula? Akajibu bado tunakusubiria wewe tule wote,nikamwambia nyie agizeni mle mie namalizia kazi,ilipofika saa moja bill ya vinywaji ninlaki elfu 20,nyama na ndizi ikawa imefikia laki na nusu,nikamwambia aina shida niagizie kilo moja take away na ndizi tatundo nakuja ila sintokaa sana,ntalipa bili na kuondoka na wewe sawa akasema sawa,baada ya hapo nikazima simu,nikaenda aehemu moja mitaa ya mabibo mwisho nikaagiza kiti moto na konyagi yanguu taratibuuuu.ebwana weee,msala uliotekea waliacha mpaka hiyo nokia Ringo na hereni,cheni acha tu hapo baada ya mwenye bar kuingilia kati,mimi nikampigia simu yule demu baada ya siku 3 khaaaa alitukana matusi yote anayoyajua mie ni kicheko tu,khaaaa.uwezi amini nilikuja mwona yule dada mwaka jana njiani kachoka ile mbaya
 
60000 tu ndio unaifungulia thread mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom