teh teh teh hiyo inaitwa niite tuje!!kwakweli itabidi maana..!
Inauma mno niko Manzese huku sandton bar, ni pazuri na pana lodge nzuri tu pia, kuna mchuchu nilikutana naye jana jioni akaomba tukutane hapa leo, nimeitikia wito lakini kinachokera na kuudhi mno kaja na timu ya mashostito wamekuja kumgidia -----, hawanywi bali wanamwagia tumboni round 3 tu, nimeshakata elfu 60, na hawana dalili ya kulewa wameagiza michemsho na nyama choma, meza imechafuka, bar nzima wanasikika wao,mavazi yao mtihani, juke box wamelimiki ni taarabu kwa kwenda mbele, naitwa majina yote matamu,mfukoni nina elfu 75 tu, naangalia jinsi ya kuwatoka.
mkuhu pole sanah mkuhu hunahonekana shidah myngih sanah pole mkuhu sanah
Du pole Mparehaya ila lawama sitaki
Du pole Mpare
Mimi nilileta mahindi toka Kibaigwa Dodoma
km wananusa vile nilisifiwa na nikazungusha round
asubuhi aliyeununua mzigo akanipa nauli ya kurudi Dom, kanipigia hesabu kanilipia usafiri Scania tani 15, ushuru wa s0k0 na alizonitangulizia (advance)
Hapo Manzese sikanyagi tena
mkuhu pole sanah mkuhu hunahonekana shidah myngih sanah pole mkuhu sanah
kaka hawaachi chochote, mezani zilikuwepo 2 zikakauka fasta, yani hakuna anayekunywa bia laini
Du pole Mpare
Mimi nilileta mahindi toka Kibaigwa Dodoma
km wananusa vile nilisifiwa na nikazungusha round
asubuhi aliyeununua mzigo akanipa nauli ya kurudi Dom, kanipigia hesabu kanilipia usafiri Scania tani 15, ushuru wa s0k0 na alizonitangulizia (advance)
Hapo Manzese sikanyagi tena
Inauma mno niko Manzese huku sandton bar, ni pazuri na pana lodge nzuri tu pia, kuna mchuchu nilikutana naye jana jioni akaomba tukutane hapa leo, nimeitikia wito lakini kinachokera na kuudhi mno kaja na timu ya mashostito wamekuja kumgidia -----, hawanywi bali wanamwagia tumboni round 3 tu, nimeshakata elfu 60, na hawana dalili ya kulewa wameagiza michemsho na nyama choma, meza imechafuka, bar nzima wanasikika wao,mavazi yao mtihani, juke box wamelimiki ni taarabu kwa kwenda mbele, naitwa majina yote matamu,mfukoni nina elfu 75 tu, naangalia jinsi ya kuwatoka.
Iliwahi kunitokea, nilifanya apointiment na mdada mmoja yeye akaja na masosti wake wanne kama kuwatambishia kuwa kampata mwenye nazo, bahati nzuri waleti yangu ilikuwa nene, nilichofanya sikumuonyesha dalili zozote kuwa ameniudhi, nikawapigisha round za kutosha na nyama choma baadae nikamwita mmoja wa mashoti wake nikondoka naye nikaenda nikamgonga halafu tukarudi, alifura kama mbogo!!!!!
Inauma mno niko Manzese huku sandton bar, ni pazuri na pana lodge nzuri tu pia, kuna mchuchu nilikutana naye jana jioni akaomba tukutane hapa leo, nimeitikia wito lakini kinachokera na kuudhi mno kaja na timu ya mashostito wamekuja kumgidia -----, hawanywi bali wanamwagia tumboni round 3 tu, nimeshakata elfu 60, na hawana dalili ya kulewa wameagiza michemsho na nyama choma, meza imechafuka, bar nzima wanasikika wao,mavazi yao mtihani, juke box wamelimiki ni taarabu kwa kwenda mbele, naitwa majina yote matamu,mfukoni nina elfu 75 tu, naangalia jinsi ya kuwatoka.
Du siku ingine nikajitosa Mrina BarHahahahahahahahha