Huku ndio ushenzini kwetu

Huku ndio ushenzini kwetu

Dah! Nilikuwa nimeshachomoka nakufuata mkuu, naona wamekuchota 60k umekwenda nduki.

asante kaka, zimebaki stori ila sipati picha nikiingia kwenye kumi na ishirini zao
 
Hao dawa yao mi valium tu wanasisinzia afu unasepa
 
Unataka kufuata nini huko h.o.e?! Na wewe kuku wa taa! Lolest. Utaharibu shughuli za watu bure.

hahaha huko sikuwez maana group kama hilo likija hata maongez hayataenda
btw kuku wa twa ndo wakoje
 
Dah! Napenda siku initokee hiii, yaani watajua kama mm n mbishi kiasi gani! Wakishafika raundi ya 5! hamia siti nyngine!
 
Dah! Napenda siku initokee hiii, yaani watajua kama mm n mbishi kiasi gani! Wakishafika raundi ya 5! hamia siti nyngine!

kitanuka hawana simile wale wala mshipa wa haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom