Usangu
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 826
- 450
Ma Bibi na Mabwana heshima iwe juu yenu. Mimi nipo Ikwiriri wilaya ya Rufiji, nimekuja ki kazi kwa siku moja. Naomba pache mapema nirudi Dar maana kuanzia saa 12:30 police wapo mitaani hawataki kuona mama ntilie wala watu kutembea. Nivichapo tu.
Shida ipo kwa wageni na hasa upande wa misosi.
Je hii ni njia sahihi ya kutokomeza matukio yaliyotokea?
Shida ipo kwa wageni na hasa upande wa misosi.
Je hii ni njia sahihi ya kutokomeza matukio yaliyotokea?