Dah!!! Pole mkuu, sasa mwalala wapi?Mkuu ikwiriri hakuna hotel, hakuna lodge hata moja wanayopika msosi. Misosi yote ni pale stand kwa mama ntilie. Maduka yenyewe sa kumi yanafungwa
Kuna Bar moja inaitwa Kivulini kuna Chakula vizuri sana pale.Mkuu ikwiriri hakuna hotel, hakuna lodge hata moja wanayopika msosi. Misosi yote ni pale stand kwa mama ntilie. Maduka yenyewe sa kumi yanafungwa
Patata msosi wako saa 9 na ukalaleMkuu ikwiriri hakuna hotel, hakuna lodge hata moja wanayopika msosi. Misosi yote ni pale stand kwa mama ntilie. Maduka yenyewe sa kumi yanafungwa
mkuu Somoche umenifanya nimeangua kicheko cha hatarr. Thanks for welcoming my weekend in styleHapo kuna maziwa mtindi mazuri sana na mapapai...nunua zama chumbani tulia kimya....
mkuu mrangi pamoja sana. Pia mimi na heka za kutosha huko.Huko mimi ni mwenyeji sana,na nna mashamba ilikuwa nipeleke mbegu za mojito lkn nme simama ngja nione upepo ukatavyo kuwa
Ova
Eeee mkae tu ndani hakuna namnaMa Bibi na Mabwana heshima iwe juu yenu. Mimi nipo Ikwiriri wilaya ya Rufiji, nimekuja ki kazi kwa siku moja. Naomba pache mapema nirudi Dar maana kuanzia saa 12:30 police wapo mitaani hawataki kuona mama ntilie wala watu kutembea. Nivichapo tu.
Shida ipo kwa wageni na hasa upande wa misosi.
Je hii ni njia sahihi ya kutokomeza matukio yaliyotokea?
Safi sana mkuu,mm nko maeneo ya bungumkuu mrangi pamoja sana. Pia mimi na heka za kutosha huko.
Curfew ndio strategy ya kuzima ambush??? Naona kuna haja ya somo la ulinzi na intelligentsia kuanza kufundishwa shule zetu maana naona fikra zetu za kiusalama zina walakiniPole sana, tulia wana usalama wanajua wanachokifanya.
Sasa kma hawatoi ushirikiano kwanni msijenge uhusiano kati ya rais na polisi kuliko kuanza kukomoana??? Ssa kwa staili hii ya kuwabana wazawa kana kwamba wao ndio wahalifu unafkiri ndio watatoa ushirikiano kwenye mazingira hayo???Wangelala hata saa kumi maana hawatoi ushirikiano kwa serikali haiwezekani MTU apigwe risasi halafu we uambiwe kachukue mkaaa!!
Mahusiano yanaboreshwa kilazima!Ndoa zitadumu sana pande hizo.