Huko kwenu linaitwaje?

Huko kwenu linaitwaje?

Amatobhoro
1. Mizizi ya mmea huu hutibu tumbo kwa watoto wachanga. Osha vizuri mzizi kisha loweka katika maji safi ( usichemshe). Mpe mtoto nusu kijiko mara 3 kwa siku
2. Haya matunda yanatibu jino. Kuna namna ya kuondoa wadudu wanao pekecha meno kwa kutumia tunda hili
 
Back
Top Bottom