Huko kwenu linaitwaje?

Huko kwenu linaitwaje?

Ndio hasa kwa watoto wadogo. Huwa zinapekechwa kwenye maji sijui vile kama sijakosea kisha povu anapakwa nalo mtoto tumboni.

(Ila siku hizi sidhani kama bado zipo hizo imani)
Kwa wazigua badooooo zipo
 
Tuliambiwa ukichapwa na mwalimu ukiichoma ndulele atavimba mkono.
Nilizochoma sana nikiwa primary.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alivimba?
 
Ntulantu hio mkuu ukiichemsha ukanywa mchuzi wake ukiongea na manzi yeyote hapindui alafu gem yake pweza viagra vikasome
Mabaharia watakua wamekuelewa..ila hutumika pia kama dawa ya kutolea funza kwene kucha, unaikata duara afu unaivalisha kwene kidole husika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom