Ailars David
Senior Member
- Jul 6, 2017
- 128
- 36
Ndula
Nimefurahi kukuona sweetie.
ndio wewe, ila sio kesi
Ni madungulusa au madungulusi?
We muha right?Inshintobhotobho
Au sio...!!!Utani tu usinune
Kuna makabila wanazila hizi?Kwetu zinaitwa Tunguja au Tura
Ila Arusha nilikuta wanaziita Ndulele.
Kuna kabila moja la Tanga zongo ndio uchawi wao. Hawashiki tunguli wala nini, akimtazama tu mtoto basi tumbo linavimba kama kavimbewaNdio hasa kwa watoto wadogo. Huwa zinapekechwa kwenye maji sijui vile kama sijakosea kisha povu anapakwa nalo mtoto tumboni.
(Ila siku hizi sidhani kama bado zipo hizo imani)
Ndioo! Tena nasikia wanapika zile changa changa zinakuwa kama ngogwe.K
Kuna makabila wanazila hizi?
Uwiii! Wamekuwa kama huku Arusha 😜😜 wapo wanaokuwa na macho mabaya akimwangalia mtoto tu basi naye anakuwa kama kapigwa zongo sema ikiwa hataki yamdhuru basi atamtemea mate.Kuna kabila moja la Tanga zongo ndio uchawi wao. Hawashiki tunguli wala nini, akimtazama tu mtoto basi tumbo linavimba kama kavimbewa
Kweli vyakula ni vingi sana yaani harufu ya majani yake na zenyewe zikiwa bado kwenye mti wake zinataka moyo kuzichezea sembuse kuzila!Ndioo! Tena nasikia wanapika zile changa changa zinakuwa kama ngogwe.
Ndio hapo sasa mana nkawa nawaza ule utomvu wake na kile kiharufu. Daah. Kula hapana kwa kweli.Kweli vyakula ni vingi sana yaani harufu ya majani yake na zenyewe zikiwa bado kwenye mti wake zinataka moyo kuzichezea sembuse kuzila!
Dooh. Ama kweli kila watu na tamaduni zao Ses.Lakini kila mahali na tamaduni zao. Kuna kabila moja nchi Uganda bangi ni mboga ya heshima kabisa na wanasema ni dawa ya kisukari pia
Hiyo ndio sayansi yetu bana Shadeeya yaani mtu anakudhuru kwa rimoti kontroo tu🤣🤣🤣Uwiii! Wamekuwa kama huku Arusha 😜😜 wapo wanaokuwa na macho mabaya akimwangalia mtoto tu basi naye anakuwa kama kapigwa zongo sema ikiwa hataki yamdhuru basi atamtemea mate.
Kabisaa Shadeeya,sindio kama wale wengine wanakula panya bukuNdio hapo sasa mana nkawa nawaza ule utomvu wake na kile kiharufu. Daah. Kula hapana kwa kweli. Dooh. Ama kweli kila watu na tamaduni zao Ses.
Hatarai sana Ses japo salamaHiyo ndio sayansi yetu bana Shadeeya yaani mtu anakudhuru kwa rimoti kontroo tu🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 nilikuwa nakunywa maji hadi nimepaliwa hapa. Hahahahaaaa. Huku wazima kabisa. Hizo tunaziita NDULELE.Vipi Arusha kwema? Nimejikuta nimefurahi tu mwenyewe hapa mamii sijui kwanini😃
Yaani kuna makala moja niliwahi kuiona wanapikwa hadi na nazi eti. Nkasema Loh.Kabisaa Shadeeya,sindio kama wale wengine wanakula panya buku
Hahahaaaa poole kwa kupaliwa Shadeeya, pumzika kidogo halafu piga funda tatu zingine za maji taratiiibu kila kitu kitakua sawa eeh mamiiHatarai sana Ses japo salama🤣🤣🤣🤣 nilikuwa nakunywa maji hadi nimepaliwa hapa. Hahahahaaaa. Huku wazima kabisa. Hizo tunaziita NDULELE.
Kabisaa Shadeeya,sindio kama wale wengine wanakula panya buku


uchicheme panya buku chema chamaki nchanga