Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,056
Na unavyopenda vyakula vya nazi mdada wa kitanga wewe! Hukutamani?Yaani kuna makala moja niliwahi kuiona wanapikwa hadi na nazi eti. Nkasema Loh.
Na unavyopenda vyakula vya nazi mdada wa kitanga wewe! Hukutamani?Yaani kuna makala moja niliwahi kuiona wanapikwa hadi na nazi eti. Nkasema Loh.
Samaki nchanga kunoga wee, uchiteme wala uchimumunyeuchicheme panya buku chema chamaki nchanga
Hapana Ses wala sikutamani mana niliona kakamaa tu mule kwenye chungu. 😀😀😀Na unavyopenda vyakula vya nazi mdada wa kitanga wewe! Hukutamani?
Nakupenda bwanaaahunipendi ww.
Wengine wakiona hivyo na kichefuchefu juu🤣🤣🤣Hapana Ses wala sikutamani mana niliona kakamaa tu mule kwenye chungu. 😀😀😀
Sodom apple au bilinganya pori
Heeh! Asubuhi yote hiiNakupenda bwanaaa
🤣🤣🤣🤣Wengine wakiona hivyo na kichefuchefu juu🤣🤣🤣
Wee wa kusini nini mkuu? Sehemu za Mchinga na Miteja KilwaDungulusi au madungulusi
Heeh! Asubuhi yote hii
🤣🤣🤣🤣 home hiyoo mkuu, mchinga, btw kusini kote huwa tunaita hivyoWee wa kusini nini mkuu? Sehemu za Mchinga na Miteja Kilwa
Hahahahaaa sawa mkuu, pamoja sana🤣🤣🤣🤣 home hiyoo mkuu, mchinga, btw kusini kote huwa tunaita hivyo
Mpuka. Kutoka ufipani