[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unataka yaanze kuadimika porini
Ntulantu hio mkuu ukiichemsha ukanywa mchuzi wake ukiongea na manzi yeyote hapindui alafu gem yake pweza viagra vikasomeWakuu nimeuliza wenzangu jina la huu mmea/tunda na kila mtu anasema lake..mimi huwa naliita "ndulele" ww je???View attachment 1202295
Tuliambiwa ukichapwa na mwalimu ukiichoma ndulele atavimba mkono.
Nilizochoma sana nikiwa primary.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walivimba mikono?
Zinatibu zongo muulize Mzigua90 ataeleza zaidiKwetu zinaitwa Tunguja au Tura
Ila Arusha nilikuta wanaziita Ndulele.
leo ndio nimehakikisha wewe ni mzanzibarKwetu zinaitwa Tunguja au Tura
Ila Arusha nilikuta wanaziita Ndulele.