Huenda Rais Magufuli akawa ameumaliza rasmi ule ubishi wa Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM

Heron

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
1,772
2,000
Hivi hiki Chuo cha SAUT kipo Mkoa gani nchini Tanzania kwani nimekuwa nikisikia Watu wengi wakikitaja na wakikisifia kuwa ni Kizuri na kwamba Wanafunzi wengi wanaosoma na kutoka hapo huwa ni Werevu kupita wale wa Vyuo vingine vya Tanzania. Nauliza hivi kwakuwa Mimi sijabahatika kufika hadi Chuo Kikuu Kielimu kama wengi wenu humu au hapa.
Yaani hapa Mkuu Genta umeshindwa kabisaa kujificha
 
Vupu

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
1,775
2,000
mi nadhani tatizo ni wasomi wanaotoka udsm kujipendekeza kwa ccm
 
Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,278
2,000
Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.

Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.

Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.

Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.

Tujadili.
Huyo mtetezi wa SAUT itakuwa unamaanisha lile taahira linaitwa
 
Yaleyale

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,587
2,000
Saut ni levo za teku, tumaini, muccobs, st.john....kuna vitu vingine ukivipa kiki kwa kutumia mgongo wa vitu vikubwa mwisho wake huwa ni kutoa uharo..

Narudia Tena hakuna utofauti sana wa teku na saut.
Una maoni gani kwa mwanazuoni wa hapo mlimani kupaita jalalani?
 
Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
5,150
2,000
Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.

Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.

Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.

Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.

Tujadili.
UDSM inatoa wahitimu vilaza wengi sana, just imagine Phd holder ambaye hawezi kujieleza kwa kingereza!
 
Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,113
2,000
Nadhani Oxford Degree yake, Harvard Masters yake na Cambridge PhD yake.
Siku nyingine mambo ya kudhani dhani usilete lete humu.. Kama hujui hata Mweshimiwa kasoma wapi kweli kuna haja ya kuleta hoja kama hio hapo humu??

Wasomi wa vyuo vingine bhana!
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,514
2,000
Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.

Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.

Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.

Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.

Tujadili.
Kama UDSM ni jalala, basi SAUT ni septic tank kabisa. No further discussion.
 
Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,207
2,000
UDSM PHOBIA ndiyo ugonjwa unaowasumbua wahitimu wa UDSM, wakidhani kuwa wao tu ndiyo bora kuliko wahitimu wa vyuo vingine ktk nchi hii. Kumbe ukweli ni kuwa ya leo siyo ya jana ndiyo maana UDSM ya sasa imeshakuwa JALALA linalozalisha wapumbavu.

UDSM PHOBIA!
UDSM PHOBIA!
0DSM PHOBIA!
 
KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,779
2,000
Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.

Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.

Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.

Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.

Tujadili.
Yaani nimecheka mpaka mbavu zinauma.Msomi wa chuo kikuu bado umeshindwa kujua tunataka maarifa yako katika utendaji na siyo Chuo gani umesoma.Kwa Tanzania vyuo vyote sawa tu maana maana kila anayotoka chuoni lugha take kiswaenglish,device yake laptop na smartphone muda wake anashinda Facebook na instagrm +jamiiforum, wavivu hatari yaani afadhali hata muhitimu wa veta. Hakuna ubunifu wowote waliotuletea huku mtaani zaidi ya misemo tu ya kigiriki na kilatini .Eti utamsikia Mimi nimesoma UDSM au SAUT chuo bora kabisa Tanzania ukimuuliza tokea umehitimu chuo kikuu umeifanyia nini Tanzania, au umegundua nini utakuta anaanza kulaumu serikali tena kwa hoja dhaifu tena kasahau kabisa wale anaowalaumu ndiyo walimu,au waandishi wa vitabu na tafiti mbalimbali pale UDSM au SAUT .Ebu fikiri kwani muhitimu wa chuo kikuu kusoma chuo kikongwe au kipya siyo kipimo cha ubora wako ubora unapimwa kwa mapinduzi ya kimaendeleo unayoyaleta katika jamii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom