Huenda Rais Magufuli akawa ameumaliza rasmi ule ubishi wa Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM

natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,898
Points
2,000
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,898 2,000
Hivi hiki Chuo cha SAUT kipo Mkoa gani nchini Tanzania kwani nimekuwa nikisikia Watu wengi wakikitaja na wakikisifia kuwa ni Kizuri na kwamba Wanafunzi wengi wanaosoma na kutoka hapo huwa ni Werevu kupita wale wa Vyuo vingine vya Tanzania. Nauliza hivi kwakuwa Mimi sijabahatika kufika hadi Chuo Kikuu Kielimu kama wengi wenu humu au hapa.
Gentamycin una vioja kweli kweli.

Unaiona SAUT kama havard

UD ni UD tu hata wewe mwenyewe unatamani ungesoma UD lakini basi ndo ivo qualifications hazikutosheleza.

Pole sana mzee
 
Auz

Auz

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2016
Messages
5,595
Points
2,000
Auz

Auz

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2016
5,595 2,000
Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.

Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.

Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.

Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.

Tujadili.
Kwa kumuangalia rais mwenyewe na mambo yake, wala huna haja ya kwenda kwa kina Kabudi na Mpango, unapata jibu la elimu yake UD.
 
O

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Messages
1,375
Points
1,500
O

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2013
1,375 1,500
Tulinganishe Kwa Kozi moja moja au faculty Kama ifuatavyo
1.Engineering ya udsm na Engineering Ya saut Kwa vigezo vya Ufaulu wa cutt off points, vifaa vya kujifunzia, maabara, wataalam
2.LL.B ya udsm na LL. B sauti Kwa vigezo vya cutt off points, wataalam, maktaba nk
3.Education
4.udsm school of journalism na saut school of journalism
5.udsm College of social sciences na saut faculty /college of social sciences
 
Ushirombo

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Messages
3,067
Points
2,000
Ushirombo

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2013
3,067 2,000
Umesema sasa hv kimebaki jina tu maana ya kwamba hadhi yake kielimu imeshuka,
Njoo kwenye kwenye point hao wanaotumbuliwa wamesoma sasa hv? Au chuo kikishuka hadhi hata waliosoma zamani nao elimu yao inashuka hadhi.
Nijibu hapa
Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.

Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.

Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.

Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.

Tujadili.
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,330
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,330 2,000
Mleta mada unazungumzia jalalani vs the city of God😁😁😁😁
 
Ntolonyonyo

Ntolonyonyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
2,011
Points
2,000
Ntolonyonyo

Ntolonyonyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
2,011 2,000
Katika watu wapuuz na wasiojielewa ni people from UDSM aisee, pale wanaenda wengi ni wenye dvsn one ambao huwa ni madomo zege class, watu hawa huwa hawawezi kujenga hoja, ni mazuzu tuu na hukomaa na madesa huku yakiwa kama kondoo, fatilia watu uliosoma nao waliokuwa wanaongoza class ndo utajua, yaan huwa wamezubaa zubaa tuu, na ndo haya haya yanazubaa na kupigwa na wazungu Kwenye mikataba, shenzi kabisa, Clouds wangekuwa wanaajir kwa kuangalia class umefaulu nin nafkr hcho kituo kingekuwa kama TBC...

Wana COET pale UDSM wameshindwa kutatua foleni ya ubungo more than 30 yrs, lakn kijana wa miaka 21 toka China aliyesomea chuo hata hakieleweki ameimaliza with in a single week, ndo ujue elimu ya UDSM ni usengerema, hamna kitu pale ni kujazana ujinga tu na sifa za kifala, tunahtaj performance na sio kukariri, fucking shit
Wewe umeleta chuki binafsi naona kuhusu watu wa UD....wapo wanaofanya vizuri na wapo wasiofanya vuzuri.....vijana wengi tu hata wapinzani wazuri ni UDSM alumni...Wakina Zitto etc....na kundi la aina hiyo, au hawa nao ni madomo zege kulingana na mtazamo wako...??
 
B

bukedde

Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
52
Points
125
B

bukedde

Member
Joined Dec 19, 2015
52 125
Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.

Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.

Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.

Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.

Tujadili.
Unasema UDSM ilikuwa zamani sasa limebaki jina tu, eb tueleze hao unaosema wanatukanwa pumbavu na rais walisoma UDSM ipi, je ni hii unayoisema imebaki jina au ni ile iliyotengeneza jina. Mi naona kusema UDSM imebaki jina kwa kutumia mfano wa Kabudi ambaye kasoma pale UDSM ikiwa hot zaidi ya sasa ni hoja mfu, uking'ang'ania hoja hiyo inabid utuambie UDSM haijawahi kuwa bora tangu ianzishwe ukilinganisha na SAUT maana hao kina Kabudi wamesoma pale zamani mnoo ukisema chuo kimebaki jina kwa kuwatumia wao kama mfano ni nani wengine sasa watakuwa walisoma UDSM kabla yao.
Vilevile unasema Rais anatumbua watu wa UDSM, ni lini na ni wapi uliona ametumbua mtu wa UDSM na akaweka mtu wa SAUT japo sisemi anatumia kigezo cha chuo kutukana watu au kuchagua watu.
SAUT ni mbali sana, linganisha UDSM na ARDH, MUHAS, SUA 😀😀.
Mjadala wa kulinganisha UDSM na SAUT ni kupoteza mda maana nchi na dunia vinajua kipi ni chuo bora.
Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.

Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.

Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.

Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.

Tujadili.
 
digalangosha

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
1,396
Points
2,000
digalangosha

digalangosha

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
1,396 2,000
Acheni ujinga wa kufananisha takataka na UDSM. UDSM ina udhaifu wake lakini si wa kulinganisha na SAUT. Hata uwe kipofu, huwezi linganisha sisimizi na tembo.
Sasa unafananisha SAUT na Jalala kaka
 
M

Mamishale

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Messages
228
Points
250
M

Mamishale

JF-Expert Member
Joined May 23, 2019
228 250
Chuo kilichobaki Tanzania na UBORA wake ni Ardhi pekee
Hivi siku hizi ubora wa Chuo nyie mnaupimaje.Mimi zamani babu yangu mzaa baba wakati tunachagua chuo cha kujiunga kabla ya kufanya mtihani wa mwisho nilimuuliza nichague chuo gani bora kuliko vyote,Jibu.Nyerere amefanya vyuo vyote vimekuwa na ubora unaolingana kutokana na fani inayotolewa chuoni hapo.Hivyo chagua chochote.Na hili nilikuja kuliona baada ya kumaliza chuo kwa kuwa,utendaji wa mwanafunzi yeyote aliyemaliza kipindi hicho wote kwa fani zao tofauti tofauti ulikuwa wa hali ya juu sana.Ndio hao walioifikisha Tanzania hapa tulipo pamoja na kwamba hapa katikati walipoingia wazamiaji wakapoteza mwelekeo mzuri uliokuwepo.Wewe Ubora chuo unaupimaje.Njoo huku tuelewane aisee....
 
digalangosha

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
1,396
Points
2,000
digalangosha

digalangosha

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
1,396 2,000
Kiongozi kuna vitu fulani huhitaji nguvu kuvishindanisha. Ni sawa unashindanisha Simba na Liverpool. Ni kujifurahisha tu. Kuna vyuo vimejengwa kwa misingi ya umri, reputation (muulize mwanafunzi yeyote anayetaka kwenda chuo chaguo lake la kwanza ni lipi kati ya UDSM na SAUT, kuna chuo atakikataa hata akiwa usingizini unless pass-marks zake ni ndogo na anajua zitamnyima sifa za kwenda chuo hicho kikongwe), walimu, tafiti, na pia usisahau UDSM ni comprehensive university.

UDSM ni chuo pekee Tanzania kilichopo miongoni mwa vyuo 16 vikongwe na bora barafu Afrika kupitia mwamvuli wa African Research Universities Alliance (ARUA).

SAUT kabla hata haijaingia kujilinganisha tu na UDSM iangalie quality of students and lecturers ilionao. Lakini pia staff:student ratio zinazosababisha college zake kama ya AJUCO Songea ifungwe kwa kukosa walimu na facilities.

Ni upuuzi tu kuanzisha thread zisizo kichwa wala miguu ambazo waanzishaji ni watu waliokosa nafasi ya kusoma vyuo vyenye sifa.
Sample ya wasomi wa udsm

Jk
Museven
Chato boy
Kabudi
Lile RC la mbeya
Ndu guy

Acha niishie hapo maana sampuli ya wasomi inajulikana inapoelekea
 
Forum statistics

Threads 1,335,206
Members 512,271
Posts 32,499,030
Top