Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,372
Ha ha da!
Usifananishe SAUT na SJUT. SAUT NI sawa na MacMillan Training vollege

JalalaniAcheni ujinga wa kufananisha takataka na UDSM. UDSM ina udhaufu wake lakini si wa kulinganisha na SAUT. Hata uwe kipofu, huwezi linganisha sisimizi na tembo.
Huyo mtetezi wa SAUT itakuwa unamaanisha lile taahira linaitwaKatika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.
Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.
Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.
Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.
Tujadili.
Una maoni gani kwa mwanazuoni wa hapo mlimani kupaita jalalani?Saut ni levo za teku, tumaini, muccobs, st.john....kuna vitu vingine ukivipa kiki kwa kutumia mgongo wa vitu vikubwa mwisho wake huwa ni kutoa uharo..
Narudia Tena hakuna utofauti sana wa teku na saut.
Kuna mama mmoja anaitwa Professor Chagu, kateuliwa yupo NEMC... kwakweli anafanya vizuri sana.
She's the one behind plastic bag bun
UDSM inatoa wahitimu vilaza wengi sana, just imagine Phd holder ambaye hawezi kujieleza kwa kingereza!Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.
Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.
Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.
Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.
Tujadili.
Hata kama sio tusi ila ni dharau ya hali ya juu maana mpaka wajukuu zako wanajua kuwa babu yetu ni mpumbavu!!! 😎😎😎😎😎Duuh sasa pumbavu nalo tusi???
Acha uoga mkuu haha
Siku nyingine mambo ya kudhani dhani usilete lete humu.. Kama hujui hata Mweshimiwa kasoma wapi kweli kuna haja ya kuleta hoja kama hio hapo humu??Nadhani Oxford Degree yake, Harvard Masters yake na Cambridge PhD yake.
Hahahaa hata mimi nilistukia Hilo.. Lijamaa zezeta kweli!Hivi Genta hili rundo la IDs huwa unafanyia nini
Haha
Kuna mama mmoja anaitwa Professor Chagu, kateuliwa yupo NEMC... kwakweli anafanya vizuri sana.
She's the one behind plastic bag bun
Kama UDSM ni jalala, basi SAUT ni septic tank kabisa. No further discussion.Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.
Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.
Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.
Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.
Tujadili.
Yaani nimecheka mpaka mbavu zinauma.Msomi wa chuo kikuu bado umeshindwa kujua tunataka maarifa yako katika utendaji na siyo Chuo gani umesoma.Kwa Tanzania vyuo vyote sawa tu maana maana kila anayotoka chuoni lugha take kiswaenglish,device yake laptop na smartphone muda wake anashinda Facebook na instagrm +jamiiforum, wavivu hatari yaani afadhali hata muhitimu wa veta. Hakuna ubunifu wowote waliotuletea huku mtaani zaidi ya misemo tu ya kigiriki na kilatini .Eti utamsikia Mimi nimesoma UDSM au SAUT chuo bora kabisa Tanzania ukimuuliza tokea umehitimu chuo kikuu umeifanyia nini Tanzania, au umegundua nini utakuta anaanza kulaumu serikali tena kwa hoja dhaifu tena kasahau kabisa wale anaowalaumu ndiyo walimu,au waandishi wa vitabu na tafiti mbalimbali pale UDSM au SAUT .Ebu fikiri kwani muhitimu wa chuo kikuu kusoma chuo kikongwe au kipya siyo kipimo cha ubora wako ubora unapimwa kwa mapinduzi ya kimaendeleo unayoyaleta katika jamii.Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.
Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.
Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.
Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.
Tujadili.
Umefel vibaya uandishi wao uko tofaut sanaGentamycine katika ID mpya
Huwezi kuelewa, we si umeishi marekani, ulaya na Australia.Plastic bag bun ndo nin?
Sauti na udsm mbona ni mbingu na ardhi...usirudie kufananaisha vitu ambavyo viko dhahiri. Saut ya kulinganianywa na udsm au ndo story za kusogeza mda?Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.
Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.
Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.
Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.
Tujadili.
Umefel vibaya uandishi wao uko tofaut sana