Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Kimsingi mtoto aliyefaulu vizuri aende Form six ila wale wenye pass za kati na chini wapitie hivyo vyuo vingine.
Elimu ya Form SIX hujengea mtoto uwezo wa kujiamini, kusimamia maamuzi yake na kuweza kujisimamia kwa umri wake. Ukitaka ujue tofauti uliza ma HR wanao wafanyia Interview ya kazi watakuambia tofauti....
 
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba.

BAKI NA MISAMIATI YAKO HIYO, WAKATI WENZAKO WA DARASA LA SABA WANAENDELEA KILA UCHWAO KUMILIKI ESTATES, KAMPUNI, MIRADI NA MALI NYINGINEZO LUKUKI. HALAFU WATAKUJA KUKUAJIRI WEWE UNAYEMILIKI MISAMIATI HIYO YA MAKARATASI ISIYOENDANA NA ''REAL LIFE IN STREETS''.
 
Ht

Hatutaki kuishi Masha ya kidhirikiana dogo. Darasa la saba wengi ni wachawi wanashinda kwa waganga kuloga Ii wawe na pesa mana nguvu Yao IPO kwenye uchawi ila sisi nguvu yetu IPO kichwani. Huo ndo utofauti
 
😅😅😅 peleka hizo D zako 3 uone kama utapata chuo.
Kuna vyuo havina hata wanafunzi..kwanini wakatae hizo d3 wakati ndo minimum requirement?..

Halafu sikia wewe kilaza...mimi nimepita advance na nikatoboa nikaenda medical school..usinichukulie poa
 
Mwisho wa siku kinacho matter ni pesa. Mtu anaepitia VETA anakuwa na uwanda mpana sana wa kupiga hela akisoma kozi yoyote technical.
 
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
mliosoma si ndio mmeingia mikataba ya kisengerema? sasa faida iko wapi
 
Kwani akitoka form four anaingia degree??
Na unaposema ubongo wa dogo wa form 4 unakua na maana gani?? Maana akili ya mtu hubadilika kulingana na changamoto alizokutana nazo.
Na mtu huwezi kusoma kitu ambacho huko nyuma huna historia nacho, yani hujui kitu kuhusu kitu hicho si rahisi.

Kama una msingi wa organic chem why ushindwe kuendelea nayo hata kama hujapitia advance.
hata nikikuelewesha nadhani hutanielewa maana hujapita huko..sidhani kama unaijua hata advance chemistry au biology au physics ilivyo..

O level ni very shallow level mkuu..hamna chochote pale
 
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Kaka wacha waende chuo baada ya kumaliza form four ili tuanze kuwala wakiwa na miaka kumi na saba maana akiwa chuo anakuwa sio mwanafunzi tena huyo unaruhusiwa kumla
 
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Taaluma ya kutafuta vyeti na sio fani
 
Hiyo mitoto unayosemea ni pamoja na wewe kumbuka wewe ni mtanzania na ulipitia stage ya utoto

Hiyo mitoto ya siku hizo wazazi wao ndo ninyi mnaowatuhumu kwa hiyo ukifuatilia tatizo limeanzia kwa wazazi akiwemo huyo doctor wako anayewatuhumu
Ni sawa uyasemayo. Ila hoja hapa ni uwezo mdogo, si chimbuko lake.

Kwahiyo uwezo mdogo wa hao wa diploma mnaowaita vilaza wao tatizo halijaanzia kwa wazazi ikiwa ni pamoja na mimi, wewe na Dr ila tunahusika kwa hao vipanga wasiojua chochote? Au ndo ule msemo "kunya anye kuku akinya bata kaharisha"? Acheni ubaguzi, mjue tu mnaowatofautisha ni Pwagu na Pwaguzi.
 
hata nikikuelewesha nadhani hutanielewa maana hujapita huko..sidhani kama unaijua hata advance chemistry au biology au physics ilivyo..

O level ni very shallow level mkuu..hamna chochote pale
KWAN UKO F5&6 NI MNASOMA PCM TU MBONA HAMTAJI NA COMB NYINGINE
 
Back
Top Bottom