Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,426
- 13,770
Huu ukimya nadhani yupo kitandani yeye akiwa kafungwa diaper. Haiwezekani uweke majina yenu na location, huenda jamaa aliona akamkodia vijebaKwahyo vp uliichapa mkuu
Huu ukimya nadhani yupo kitandani yeye akiwa kafungwa diaper. Haiwezekani uweke majina yenu na location, huenda jamaa aliona akamkodia vijebaKwahyo vp uliichapa mkuu
Kwa kofi zito au kandambiliKwa mibluu mitatu? Miaka ya 90s msimbazi ulikuwa unaitwa bluu.. Sasa mkuu jamaa katoa barua kalipia mahali na mitoto kamzalisha we unataka ujione na 30k yako mtu…
Nzi mwenye kelele hana bahati kwa maana hufa dakika za mwanzo…
kwa rungu la mti wa mpingo…Kwa kofi zito au kandambili
Wote masikiniEric anajiona mwamba hadi kuleta uzi jf kwa 30k yake.
Hapo sijui maskini ni nani sasa.
Yeye au mke wa jamaa.
AhahahHuu ukimya nadhani yupo kitandani yeye akiwa kafungwa diaper. Haiwezekani uweke majina yenu na location, huenda jamaa aliona akamkodia vijeba
Kwisha habari yake. tamaa imeponza fisiWakuu mliooa hudumieni Hawa wake zenu.Huku nje wanaomba omba mno pesa
Ukiona hivyo ujue Eric ni mmoja kati ya kundi la wachakataji wa huyo Happy kupitia kumpa vijisenti.Elf selasini inaenda kuvunja agano takatifu la kufa na kuzikana, iwe kwa raha au kwa shida aloo.
Bad influenceSio kuhudumia mke tu hata kama una x wife wako umezaa nae mhudumie hata kama yupo na ndoa yake
Nimekula janaKwahyo vp uliichapa mkuu
Daah wakubwa mnapata raha kweli kweli ndani ya motooo mpka rahaaaaaNimekula jana
Nimejarib kumkwepa,hakwepekiDaah wakubwa mnapata raha kweli kweli ndani ya motooo mpka rahaaaaa
Mi mwenyewe tupo demu wangu wa shulen kaolewa ila ananisumbua ila naogopa sana kiukwel sijui nifanye nnNimejarib kumkwepa,hakwepeki
Wakuu mliooa hudumieni Hawa wake zenu.Huku nje wanaomba omba mno pesa
Uko sahihi Mkuu tuwe makini sana na machaguzi yetuUkiona hivyo ujue Eric ni mmoja kati ya kundi la wachakataji wa huyo Happy kupitia kumpa vijisenti.
Ke mlevi = mwana vikoba/michezo = Kahaba
Mke wa mtu mtamuuu
Nimekula jana
Na nyie mtaoa alafu sikilizieni milio, malipo ni hapahapa pia unaweka marinda rehani hayaaDaah wakubwa mnapata raha kweli kweli ndani ya motooo mpka rahaaaaa
Anataka ya kulipa vikobaWakuu mliooa hudumieni Hawa wake zenu.Huku nje wanaomba omba mno pesa