elfu 30 tu ushaanzisha uzi. Grow up bro.Wakuu mliooa hudumieni Hawa wake zenu.Huku nje wanaomba omba mno pesa
SeriouslySio kuhudumia mke tu hata kama una x wife wako umezaa nae mhudumie hata kama yupo na ndoa yake
Wewe wa kishua ee?Eric na Happy hawana tofauti kabisa
Ni wajinga wawili katika harakati za kuambukizana UTI
Naunga mkono hoja bwasheeTusichoke kutafuta hela, umasikini unadhalilisha sana........
Wa kishua ni mtu ganiWewe wa kishua ee?
Si wewe ambaye unadhani huyo dem hana akiliWa kishua ni mtu gani
Angalau Eric anajua madhara ya kumtumia pesa mke wa mtu. Happy hajajaaliwa akili kabisaa.Eric na Happy hawana tofauti kabisa
Ni wajinga wawili katika harakati za kuambukizana UTI
Sana.Tusichoke kutafuta hela, umasikini unadhalilisha sana........
Ukifa ataolewa tenaMwambie huyo dada maisha ni magumu kwa kila mtu hivyo atulie kwenye ndoa yake