Hudumieni wake zenu

Hudumieni wake zenu

We nae una njaa pia.
Yaani elfu 30 ndo utake kumdhalilisha? Kama kumgea si ungetuma kupitia wakala!
Kwenye mambo kama hayo, kama mdada sio mke wa mtu, na ananivutia ila kaniomba hela, nafsi yangu inakua na pande 3

1)Upande wa kwanza nakua namuonea huruma, natamani nimpe bila kumdai chochote.

2) Upande wa pili nakua namtamani

3) Upande wa tatu nawaza nikimuomba ngono ntakua kama namtesa na kumnyanyasa, yani ni kama natumia shida yake for my own advantage, pengine asingekua na shida asingetaka fanya mapenzi na mimi.

It's a very sad life

Hulda-Tamarri
 
Jina lako na jina lake na jina la eneo kwa mama ambapo mnataka kukutana umeweka hapo. Ujinga mwingi sana
 
Kwenye mambo kama hayo, kama mdada sio mke wa mtu, na ananivutia ila kaniomba hela, nafsi yangu inakua na pande 3

1)Upande wa kwanza nakua namuonea huruma, natamani nimpe bila kumdai chochote.

2) Upande wa pili nakua namtamani

3) Upande wa tatu nawaza nikimuomba ngono ntakua kama namtesa na kumnyanyasa, yani ni kama natumia shida yake for my own advantage, pengine asingekua na shida asingetaka fanya mapenzi na mimi.

It's a very sad life

Hulda-Tamarri
Very sad indeed!
 
Kwa mibluu mitatu? Miaka ya 90s msimbazi ulikuwa unaitwa bluu.. Sasa mkuu jamaa katoa barua kalipia mahali na mitoto kamzalisha we unataka ujione na 30k yako mtu…
Nzi mwenye kelele hana bahati kwa maana hufa dakika za mwanzo…
 
Back
Top Bottom