Huduma za kutengeneza website kwa uharaka – siku 3 tu!

Huduma za kutengeneza website kwa uharaka – siku 3 tu!

Na nikihitaji web ambayo nitakuwa napakia series zangu, yaani kama YouTube hivi, sema mimi ndo mwenye channel, wengine ni views tu. Na iwe inanionesha namba ya views and maoni. Video ziwe kwenye mtiririko sahihi, zinazoplay pasi na kukwama kwama

Inawezekana?
inawezekana bila shida ila mimi sitahost hizo videos maana ku upload videos inahitaji hosting ya gharama kidogo na iwe kubwa kuhifadhi videos..
ila linawezekana na web yako itakuwa hewani
 
inawezekana bila shida ila mimi sitahost hizo videos maana ku upload videos inahitaji hosting ya gharama kidogo na iwe kubwa kuhifadhi videos..
ila linawezekana na web yako itakuwa hewani
"Ku-upload kunahitaji hosting ya gharama" hapa sijaelewa!
 
"Ku-upload kunahitaji hosting ya gharama" hapa sijaelewa!
kikawaida hosting ya kupewa 100gb inagharimu 120,000 kwa mwaka..

sasa nikuulize video zako unatarajia ziwe na ukubwa gani?

kila 100gb utagharamia 120,000 kwa mwaka
.....sasa jikadirie hapo uta upload videos za gb ngapi?
 
logistics companies mnahitaji kuwa na website
call/sms/whatsapp 0797870940
 
logistics companies mnahitaji kuwa na website
call/sms/whatsapp 0797870940
 
NGOs mnahitaji kuwa na website.
Tuwasiliane call/sms/whatsapp 0797870940
 
NGOs mnahitaji kuwa na website.
Tuwasiliane call/sms/whatsapp 0797870940
 
unatoa huduma ya tour guide ni lazima uwe na website ..
Tuwasiliane nikutengenezee
call/sms/whatsapp 0797870940
 
unatoa huduma ya tour guide ni lazima uwe na website ..
Tuwasiliane nikutengenezee
call/sms/whatsapp 0797870940
 
Karibu sana – kazi ni kuanza mara moja! 🚀
call/whatsapp 0797 870 940
 
Karibu sana – kazi ni kuanza mara moja! 🚀
call/whatsapp 0797 870 940
 
Stock management system
pharmacy management system
School management system

zote zinapatikana
0797870940
 
Mkuu, hivi hizi website huwa zinamnufaishaje mmiliki hasahasa kwenye nyanja ya kiuchumi?
 
Mkuu, hivi hizi website huwa zinamnufaishaje mmiliki hasahasa kwenye nyanja ya kiuchumi?
watu wanatafuta taarifa za huduma au bidhaa mitandaoni sasa usipokuwa na website maana yake mteja wako atakosa info zako na kuangukia kwa mshindani wako mwenye website
 
Back
Top Bottom