Huduma ya maji itakuwa ya uhakika na bei nafuu

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA
  • Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza
  • Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea
  • Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya kuchemsha mbona nchi nyingine wameweza
  • Maeneo ya mashamba watakuwa na mfumo wa maji ya kumwagilia

Zifuatazo ni mbinu ntakazotumia kuhakikisha huduma ya maji inakuwa ya uhakika ni kupima nchi nzima moja ya sababu ya kuwepo kwa ugumu wa kusambaza maji ni uwepo wa squatter na itakuwa ni LAZIMA KUFUATA MIPANGO MIJI
faida za mipango miji
  • Itakuwa ni rahis sana kuvutia watu maji kwa kufuata mipango miji
  • Itakuwa ni rahis sana kufanya maintenance
  • Mabomba yanayotumika kupitishia maji yatakuwa na ubora mkubwa sana
  • Njia za mambomba ya maji zitajengewa kisasa na sio tu kuchimbiwachimbwa juu juu kama ilivyo sasa
 
Go deep man a serious issue y disscusd it like a petty issue
 
Hoja zako nzuri Sana

Ila kwanini huduma Kama Maji ,umeme ,Afya pamoja na Elimu zisiwe zinatolewa bure?.
 
NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA
  • Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza
  • Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea
  • Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya kuchemsha mbona nchi nyingine wameweza
  • Maeneo ya mashamba watakuwa na mfumo wa maji ya kumwagilia

Zifuatazo ni mbinu ntakazotumia kuhakikisha huduma ya maji inakuwa ya uhakika ni kupima nchi nzima moja ya sababu ya kuwepo kwa ugumu wa kusambaza maji ni uwepo wa squatter na itakuwa ni LAZIMA KUFUATA MIPANGO MIJI
faida za mipango miji
  • Itakuwa ni rahis sana kuvutia watu maji kwa kufuata mipango miji
  • Itakuwa ni rahis sana kufanya maintenance
  • Mabomba yanayotumika kupitishia maji yatakuwa na ubora mkubwa sana
  • Njia za mambomba ya maji zitajengewa kisasa na sio tu kuchimbiwachimbwa juu juu kama ilivyo sasa
Dogo ingekuwa vema ujishughulishe na kilimo cha bustani mbogamboga hapo uwani Kwa shemeji mume wa dada yako.

Sauh'waah?

C'mon get that weirdass moving!
 
maji ni muhimu sana ikiwa viongozi wakawekeza ktk maji ili yafike kote nchini yakiwa safi na salama na kwa gharama nafuu hakika itakuwa moja kati ya busara kubwa sana
 
Back
Top Bottom