Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Huduma na Bidhaa za HALOTEL

View attachment 357553
UTANGULIZI KUHUSU HUDUMA
HALO FUN
ni huduma ya kuburudisha na kufurahisha inayo kuwezesha kucheza gemu kwenye intaneti kupitia simu yako ya mkononi,kupitia huduma hii utapata nafasi ya kufurahia Magemu mbalimbali bila kikomo Magemu hayo ni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
=>Unaweza kujiunga na huduma kwa:
Kupitia WAP: Tembelea http://halofun.co.tz kwa kujiunga na huduma
Kupitia SMS:
-Tuma SMS “ON” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha siku.
-Tuma SMS “ON30” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha mwezi.
-Alafu tembelea http://halofun.co.tz ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 150/Siku
-Kifurushi cha mwezi: Tsh1,500/Mwezi

JIUNGE NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
ewe ndugu HALOTEL VAS unapost tu matangazo kama vile tupo facebook. JF is the home of great thinkers.

hili jukwaa si la wanasiasa au vijana wasio na muelekeo.

hapa ni TECH GADGETS AND SCIENCE FORUM. Jukwaa hili ni la kutatua matatizo hivyo kama hujui lengo la kufungua thread hapa ni bora usepe.
 
upload_2016-6-20_16-41-45.png

“RUKA NA EURO 2016, NA USHINDE!”
Tuma EURO Kwenda 15602 Kujinga Na Huduma!
Muda Wa Kujiunga: Kuanzia Juni 10, Hadi Julai 10, 2016
-Siku 3 BURE Za Kujiunga Kwa Mara Ya Kwanza
-Jiunge Na Mchezo Wa Kuvutia
-Taarifa Moto Moto, Habari Za Moja Kwa Moja Za EURO 2016
-Pata Zawadi Nyingi Za Thamani
Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 100/Siku

ZAWADI
=>Mwishoni mwa hatua ya Makundi
Zawadi 2 za Tsh 50,000
Zawadi 5 za muda wa maongezi Tsh 10,000 kwa kila zawadi
=>Mwishoni mwa hatua ya Nusu Fainali
Zawadi 1 ya Tsh 100,000
Zawadi 5 za muda wa maongezi Tsh 10,000 kwa kila zawadi
=>Zawadi mwisho wa Fainali
Zawadi maaalum Tsh 150,000
Zawadi 10 za muda wa maongezi Tsh 10,000 kwa kila zawadi

TARATIBU ZA PROGRAMU

Mtumiaji atakayejiunga na huduma ya HALO SOKA EURO atahusika katika programu hii. Wataingia katika mchezo na kujibu maswali mbali mbali ya machaguzi na kujikusanyia pointi kila siku na kupokea zawadi kem kem baada ya mchezo kuisha (Zawadi zitatolewa kila baada ya mzunguko mmoja).

-Mchezo umegawanyika katika sehemu 03: Hatua ya Kufuzu; Hatua ya nusu Fainali; Hatua ya Fainali
-Mshindi mwenye pointi nyingi atachaguliwa katika kila hatua atachaguliwa
-Mtumiaji atapata pointi kwa siku kila anapofanikiwa kuongeza muda wa matumizi wa huduma.

Taratibu Za Mchezo
-Pointi za kujiunga na huduma: Mteja atapokea pointi 50 kama atafanikiwa kujiunga na huduma.
-Pointi za ziada baada ya kuongeza muda wa matumizi ya huduma
=>Kama mtumiaji atafanikiwa kuongeza muda wa matumizi atapata pointi 20.
-Kama mteja hataongeza muda wa matumizi wa huduma atapata pointi 0.
-Pointi za ziada baada ya kujibu maswali
-Mteja aatapokea swali kila siku. Maswali 3 yakiwa katika mfumo wa kuchagua. Kujibu swali mteja atatuma 1 au 2 au 3 kwenda 15602
-Kama jibu la mteja ni sahihi atapokea pointi 10.
-Kama jibu la mteja si sahihi atapokea pointi 0.

-Kama watumiaji wengi wana pointi nyingi zinazolingana, mshindi atapatikana kwa njia ya kuchezesha droo kupitia njia ya Random Generator katika tovuti RANDOM.ORG - True Random Number Service watakao ingia katika droo ni orodha ya wenye pointi nyingi na mshindi ni atakayekua wa kwanza katika orodha hiyo baada ya droo kuchezeshwa.

=>Sheria za kujiunga
Kujiunga tuma EURO kwenda 15602.
Tumia huduma ya EURO katika kipindi chote cha program, bila kusitisha katika muda wowote.

Vigezo Vya Mshindi
-Mtumiaji wa njia 2 zanazofanya kazi.
-Mtumiaji aliye jiunga na EURO kabla ya Julai 11, 2016.
-Ambae anaongeza muda wa matumizi ya huduma kila siku (Kwa gharama kuanzia Juni 12 hadi Julai 10).
-Mtumiaji hatositisha huduma ya EURO kwa kipindi chote cha programu.
-Gharama zote za usafiri, malazi, mshindi atalazimika kulipia mshindi pindi anapikuja kuchukua zawadi yake.
-Mshindi atalazimika kulipia kodi (Kama ipo) kwa mujibu wa sheria.
-Taarifa kuhusu mshindi zitatangazwa katika kurasa za habari za HALOTEL.
-HALOTEL itakua huru kutumia majina na picha za washindi katika shughuli zote za matangazo ya biashara.
-Kama kutakua na malalamiko yeyote katika kipindi chote cha programu HALOTEL atawajibika katika kufanya maamuzi ya mwisho, na washiriki wote lazima wayafuate.
-Kama HALOTEL haitapata washindi wa kwanza, zawadi ipo ni ya kipindi kifupi, HALOTEL itafanya maamuzi ya busara!

UNGANA NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: +255.627.942.367
Email: Vas@Halotel.co.tz
 
Attachments

  • upload_2016-6-20_16-41-31.png
    upload_2016-6-20_16-41-31.png
    28.9 KB · Views: 92
upload_2016-6-21_16-19-1.png

Pata Mwezi Mmoja Buree Kwa Kusajili Huduma Ya MCA Na Utapokea Jumbe Za Simu Ulizokosa Pindi Simu Imezima Au Haina Mtandao.
-Gharama Ya Kusajili Baada Ya Promosheni Ni: 400/Mwezi.

UTANGULIZI
MCA
ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kusajili huduma: Tuma ON kwenda 15579 au piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Tuma OFF kwenda 15579 au piga *15579*0#

GHARAMA ZA HUDUMA
-Pata mwezi mmoja buree kujisajili kwenye huduma na utapokea jumbe ya simu ulizokosa pindi simu imezima au haina mtandao.
-Gharama ya kusajili huduma baada ya promosheni ni: Tsh 400/Mwezi.

JOIN WITH US
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email:
Vas@Halotel.co.tz
 
upload_2016-6-22_17-43-50.png

Pata wiki moja bure kwa kujiunga na Huduma ya HALO BEATZ na uweze kutuma na kuweka nyimbo uzipendazo kwa marafiki pale wanapokupigia kwa kutuma ON kwenda 15607.
Piga 15607 (Gharama: Tsh 20/Dakika) kupata nyimbo nyingi mpya za chaguo lako.
Gharama ya kujisajili ni Tsh 175/Wiki baada ya promosheni.

UTANGULIZI.
HALO BEATZ
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL kuweka miito wanayoipenda isikike pale wanapipigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na huduma: Tuma ON kwenda 15607 au piga *15607*1#
-Kupakua nyimbo:Tuma PATA codeyawimbo kwenda 15607 au piga *15607*Codeyawimbo#
-Kupata orodha ya nyimbo mpya: Tuma MPYA kwenda 15607 au piga *15607*5#
-Orodha ya nyimbo kwenye Albam: Tuma ORODHA kwenda 15607 au piga *15607*6#
-Kusikiliza nyimbo kwa kuchagua nyimbo bora: Piga 15607

GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za kusajili: Tsh.175/Wiki
-Gharama ya wimbo kupakua/Wekaupya/Nakili: Tsh.400/Nyimbo kwa mwezi
-Gharama ya kusikiliza (IVR): Tsh.20/Dakika

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Barua pepe: Vas@Halotel.co.tz
 
upload_2016-6-24_16-7-27.png

UTANGULIZI
HALO QUIZ
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kushinda zawadi nyingi. Kwa kujibu idadi ya maswali kadhaa kwa usahihi kwa muda mchache.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujisajili: Mteja wa HALOTEL anaweza kujiunga na kuanza kutumia huduma hii nzuri kwa kupiga 0901221111.
-Mtumiaji atapokea taarifa ya ujumbe wa kufanikiwa kusajili huduma na kupewa nafasi ya kucheza HALO QUIZ.
-Kisha mtumiaji ana nafasi ya kuchagua kifurushi cha maswali na kuanza kujibu maswali.
-Huduma ina vifurushi 3 vya maswali
Kifurushi cha maswali kumi: Maswali 10; Zawadi: Tsh 2,000
Kifurushi cha maswali ishirini: Maswali 20; Zawadi: Tsh 4,000
Kifurushi cha maswali thelathini: Maswali 30; Zawadi: Tsh 8,000

GHARAMA ZA HUDUMA

-Gharama za huduma ni Tsh100 kwa siku. Baada ya kujiunga utapata nafasi mbili za kucheza HALO QUIZ bure.
-Kisha mtumiaji atapaswa kulipia Tsh100 kwa kila nafasi mbili za ziada kucheza HALO QUIZ.

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367

-Email: Vas@Halotel.co.tz
 
Attachments

  • upload_2016-6-24_16-7-27.png
    upload_2016-6-24_16-7-27.png
    63.9 KB · Views: 73
Huyu jamaa wa Halotel hapa Jukwaani hajibu maswali ya Wadau.... Anapost tu huduma zao.

Laini yao nimeitupa chooni baada ya kujarbu na kuona hakuna Tofauti na tiGO.....
 
Huyu jamaa wa Halotel hapa Jukwaani hajibu maswali ya Wadau.... Anapost tu huduma zao.

Laini yao nimeitupa chooni baada ya kujarbu na kuona hakuna Tofauti na tiGO.....
Habari...uliza swali lako tafadhali, majibu yatatolewa
 
upload_2016-6-28_17-39-43.png

UTANGULIZI
HABARI
ni huduma inayowawezesha wateja wa Halotel kupata habari mbalimbali muhimu za jamii, siasa na michezo kutoka kila kona ya Dunia. Huduma inawapa fursa wateja kufahamu kile kinachoendelea ndani na nje ya nchi kila siku.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Unaweza kujiunga na huduma:
-Kupitia SMS :
-Tuma neno HABARI kwenda 15608 kusajili huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 50/Siku

JIUNGE NASI:

Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
 
upload_2016-6-30_16-18-27.png

“RUKA NA EURO 2016, NA USHINDE!”
Tuma EURO Kwenda 15602 Kujinga Na Huduma!
Muda Wa Kujiunga: Kuanzia Juni 10, Hadi Julai 10, 2016
Siku 3 BURE Za Kujiunga Kwa Mara Ya Kwanza
-Jiunge Na Mchezo Wa Kuvutia
-Taarifa Moto Moto, Habari Za Moja Kwa Moja Za EURO 2016
-Pata Zawadi Nyingi Za Thamani
Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 100/Siku

ZAWADI
=>Mwishoni mwa hatua ya Makundi
Zawadi 2 za Tsh 50,000
Zawadi 5 za muda wa maongezi Tsh 10,000 kwa kila zawadi
=>Mwishoni mwa hatua ya Nusu Fainali
Zawadi 1 ya Tsh 100,000
Zawadi 5 za muda wa maongezi Tsh 10,000 kwa kila zawadi
=>Zawadi mwisho wa Fainali
Zawadi maaalum Tsh 150,000
Zawadi 10 za muda wa maongezi Tsh 10,000 kwa kila zawadi

TARATIBU ZA PROGRAMU
Mtumiaji atakayejiunga na huduma ya HALO SOKA EURO atahusika katika programu hii. Wataingia katika mchezo na kujibu maswali mbali mbali ya machaguzi na kujikusanyia pointi kila siku na kupokea zawadi kem kem baada ya mchezo kuisha (Zawadi zitatolewa kila baada ya mzunguko mmoja).
-Mchezo umegawanyika katika sehemu 03: Hatua ya Kufuzu; Hatua ya nusu Fainali; Hatua ya Fainali
-Mshindi mwenye pointi nyingi atachaguliwa katika kila hatua atachaguliwa
-Mtumiaji atapata pointi kwa siku kila anapofanikiwa kuongeza muda wa matumizi wa huduma.
Taratibu Za Mchezo
-Pointi za kujiunga na huduma: Mteja atapokea pointi 50 kama atafanikiwa kujiunga na huduma.
=>Pointi za ziada baada ya kuongeza muda wa matumizi ya huduma
Kama mtumiaji atafanikiwa kuongeza muda wa matumizi atapata pointi 20.
Kama mteja hataongeza muda wa matumizi wa huduma atapata pointi 0.
-Pointi za ziada baada ya kujibu maswali
Mteja aatapokea swali kila siku. Maswali 3 yakiwa katika mfumo wa kuchagua. Kujibu swali mteja atatuma 1 au 2 au 3 kwenda 15602

Kama jibu la mteja ni sahihi atapokea pointi 10.
Kama jibu la mteja si sahihi atapokea pointi 0.
=>Kama watumiaji wengi wana pointi nyingi zinazolingana, mshindi atapatikana kwa njia ya kuchezesha droo kupitia njia ya Random Generator katika tovuti RANDOM.ORG - True Random Number Service watakao ingia katika droo ni orodha ya wenye pointi nyingi na mshindi ni atakayekua wa kwanza katika orodha hiyo baada ya droo kuchezeshwa.

=>Sheria za kujiunga
Kujiunga tuma EURO kwenda 15602.
Tumia huduma ya EURO katika kipindi chote cha program, bila kusitisha katika muda wowote.

Vigezo Vya Mshindi
-Mtumiaji wa njia 2 zanazofanya kazi.
-Mtumiaji aliye jiunga na EURO kabla ya Julai 11, 2016.
-Ambae anaongeza muda wa matumizi ya huduma kila siku (Kwa gharama kuanzia Juni 12 hadi Julai 10).
-Mtumiaji hatositisha huduma ya EURO kwa kipindi chote cha programu.
-Gharama zote za usafiri, malazi, mshindi atalazimika kulipia mshindi pindi anapikuja kuchukua zawadi yake.
-Mshindi atalazimika kulipia kodi (Kama ipo) kwa mujibu wa sheria.
-Taarifa kuhusu mshindi zitatangazwa katika kurasa za habari za HALOTEL.
-HALOTEL itakua huru kutumia majina na picha za washindi katika shughuli zote za matangazo ya biashara.
-Kama kutakua na malalamiko yeyote katika kipindi chote cha programu HALOTEL atawajibika katika kufanya maamuzi ya mwisho, na washiriki wote lazima wayafuate.
-Kama HALOTEL haitapata washindi wa kwanza, zawadi ipo ni ya kipindi kifupi, HALOTEL itafanya maamuzi ya busara!

UNGANA NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: +255.627.942.367
Email: Vas@Halotel.co.tz
 
upload_2016-7-1_15-58-28.png

UTANGULIZI KUHUSU HUDUMA
HALO FUN
ni huduma ya kuburudisha na kufurahisha inayo kuwezesha kucheza Magemu kwenye intaneti kupitia simu yako ya mkononi,kupitia huduma hii utapata nafasi ya kufurahia Magemu mbalimbali bila kikomo Magemu hayo ni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
=>Unaweza kujiunga na huduma kwa:
Kupitia WAP: Tembelea http://halofun.co.tz kwa kujiunga na huduma
Kupitia SMS:
-Tuma SMS “ON” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha siku.
-Tuma SMS “ON30” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha mwezi.
-Alafu tembelea http://halofun.co.tz ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 150/Siku
-Kifurushi cha mwezi: Tsh1,500/Mwezi

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
 
Call centre yenu wazito kupokea simu. dk 10 nzima nasubirishwa bhana
 
upload_2016-7-4_17-31-2.png

UTANGULIZI
DINI ni huduma inayowawezesha wateja wa Halotel kupata mistari ya dini ya Kuraan, Injili na Biblia.Huduma hii inakuwezesha kujua Mungu ni nani na anamalengo gani kwenye maisha yako.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kupitia USSD: Piga *149*64# Kisha chagua DINI
-Kupitia SMS:
-Tuma neno INJILI/KURAAN/Biblia kwenda 15608 kusajili huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 120/Siku

JIUNGE NASI:
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Nyie mawakala wa mitandao inayoishi kwa nguvu ya matangazo with less efficiency acheni husuda na wivu wa kijinga .Halotel kwa sasa ndio mtandao unaokuwa kwa kasi kuliko hiyo mijitandao yenu inayoboronga.
 
upload_2016-7-8_17-15-25.png

Karibu katika Fainali ya EURO 2016 na HALO SOKA!

Ushindi dhidi ya Wales na Ujerumani umezipeleka Ureno na mwenyeji Ufaransa katika Fainali za EURO 2016 itakayofanyika katika uwanja wa Stade de France.

Les Bleus amenyakua kombe la EURO mwaka 1984 na 2000, pia ni bingwa wa kombe la dunia mwaka 1998. Mashindano yote yanayofanyika Ufaransa, timu ya nyumbani huibuka mshindi.

Wakati huohuo,miaka 12 iliyopita Ureno alicheza Fainali yao ya mwisho wakiwa nyumbani lakini Figo na wachezaji wenzake walifungwa na Ugiriki na Cristiano Ronaldo alilia kama mtoto mdogo baada ya filimbi ya mwisho.

Mchezaji bora wa Ureno anahitaji kufunga goli moja Zaidi ilikuivunja rekodi ya Michael Platini’s wakati huohuo ,Antonie Griezmann yupo katika nafasi nzuri ya kunyakua kiatu cha dhahabu baada ya kufunga magoli 6 na kutoa pasi za mwisho 2 ,washambuliaji wawili mahasimu katika Fainali ya UEFA mwaka 2015-2016 ndio tegemeo kubwa kwa pande zote mbili.

Je CR7 atang’ara na kupeleka kombe Ureno kwa mara ya Kwanza au“Grizou” Atafanya miujiza na kuipa kombe Ufaransa kila kitu kitafahamika Julai 10.

Utapata taarifa mbalimbali za michuano ya EURO 2016 kila siku na maswali mbalimbali ya kuvutia ya kukufanya uingie kwenye droo na kujishindia zawadi nyingi za thamani.

Tuma EURO kwenda 15602 ili kujiunga na huduma!

Kwa maelezo Zaidi tuma HELP EURO kwenda namba 15602 au piga 100.
Asante!

UNGANA NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: +255.627.942.367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums:
HALOTEL VAS
 
Hivi kwanini mnacopy paste from website, mnajua mnacopy hadi tables. Wanaotumia mobile devices hawaelewi post zenu.
 
upload_2016-7-9_12-22-54.png

UTANGULIZI
VICHEKESHO ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali nzuri za kuchekesha kila siku.

JINISI YA KUTUMIA HUDUMA

Kujiunga na Huduma:
-Tuma CHEKESHA kwenda 15608

FAIDA ZA HUDUMA

-Huduma inampa mteja nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali za kuchekesha.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh.80/Siku

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom