UTNAGULIZI
SIMUCLIP ni huduma inayowarapa fursa wateja wa HALOTEL kufurahia video mbalimbali za kuchekkesha, mambo muhimu ya soka, dondoo za mapishi, vikatuni, n.k kupitia simu zao.
JINSI YA KUTUMIA SIMU
KUSAJILI
-Tuma “ON” kwenda 15738 au piga *15738*1# kujiunga na Kifurushi cha siku
- Tuma “ON7” kwenda 15738 au piga *15738*7# Kujiunga Kifurush cha Wiki.
- Tuma “ON30” kwenda 15738 au piga *15738*30# Kujiunga kifurushi cha Mwezi.
-
Jinsi ya kutumia huduma: Kutazama/kupakua/zawadi video kupitia
http://simu.co.tz
GHARAMA ZA HUDUMA
- GHARAMA ZA KUJIUNGA
- Kifurushi cha Siku: Tsh:300/Siku
- Kifurushi cha Mwezi: Tsh: 1,500/Wiki
- Kifurushi cha Mwezi: Tsh: 5,000/Mwezi
- Gharama za video
- Mteja aliyejiunga: Bure kutazama video zote.
- Mteja asiyejiunga: Kutazama kwa demo za video sekunde 30 tu.
- Kupakua/Zawadi: Tsh:300/Video.
-
Gharama za Data: Bure
JIUNGE NASI
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz