Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Huduma na Bidhaa za HALOTEL

upload_2016-7-23_11-54-28.png
upload_2016-7-23_12-2-28.png

UTANGULIZI WA HUDUMA
Jiunge na HALO WIN leo na upate nafasi ya kujishindia zawadi nyingi za thamani kila siku!
-Jiunge na Halo win sasa ,utapata siku moja BURE ya kutumia huduma hii kwa mara ya kwanza!
-Pata zawadi nyingi za thamani kuanzia Tsh 10,000 kama muda wa maongezi kila siku hadi smartphone H8501.


HALO WIN ni huduma mpya na yakuvutia kutoka halotel inayokupa nafasi nyingi za kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo za siku, wiki na mwezi.
Wateja wote wa HALOTEL wanaweza kujiunga na huduma hii, alafu wanatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti zao za simu badaa ya hapo watapokea namba ya bahati na kutakiwa kupiga namba ya huduma na uingiza namba hiyo ya bahati au kuituma kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye namba hiyo ya huduma.
Mfumo utachezesha droo na kuchagua washindi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO WIN
-Unaweza kujiunga na huduma kwa njia zifuatazo
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0004 ili kujiunga na huduma hii, alafu utatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti yako ya simu, baada ya hapo utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma ambayo ni 09 0122 004 na kuingiza namba ya bahati uliyotumiwa.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 004 kujiunga na huduma hii. alafu tuma namba yako ya bahati utakayopokea baada ya kujiunga au kuongeza salio kwenye akaunti yako kwenda kwenye namba 09 0122 004.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Gharama za Huduma: Tsh 50/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dakika.

UNGANA NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-JamiiForums:
HALOTEL VAS
 
upload_2016-7-27_18-59-52.png

Cheza, burudika, Jifunze na Ujishindie zawadi nyingi za thamani kutoka katika Huduma ya Halo Quiz
-Piga 0901220 1111 na Ujiunge bure kwa mara ya Kwanza
-Jiunge na timu ya Halo quiz ujifunze, uburudike na Ujishindie Zawadi nyingi za Thamani
-Gharama za kujiunga na huduma ni Tsh 100/kwa kila mara 2 za kucheza Halo Quiz


UTANGULIZI WA HUDUMA
Halo quiz ni huduma ya kuvutia inayowapa nafasi wateja wa Halotel kuburudika,kufurahia ,kujifunza na kujishindia zawadi nyingi za thamani baada ya kujibu maswali kwa usahihi.
Kupitia huduma hii mtumiaji wa Halotel atapata nafasi ya kuchagua na kusikiliza kifurushi cha maswali na kutakiwa kuchagua jibu sahihi kwa kila swali, ili kushinda zawadi mtumiaji wa huduma hii atatakiwa kujibu maswali yote kwa usahihi na kutumia muda mfupi Zaidi
Mfumo wetu utamzawadia mshindi zawadi yake muda mfupi baada ya kujibu maswali yote kwa usahihi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO QUIZ
-Unaweza kujiunga na huduma hii kwa njia ya:
-Chaneli ya IVR: Kwa kupiga namba ya Huduma ambayo ni 09 0122 1111 ili kujiunga.
-Piga 09 0122 1111 ili kutumia huduma

GHARAMA ZA HUDUMA

-Gharama za huduma: Tsh 100/Siku/ kwa Nafasi 2 za kucheza

UNGANA NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-7-30_12-30-37.png

ONYESHA HISIA ZAKO KWA MARAFIKI NA FAMILIA!
PATA MWEZI MMOJA BURE KUTUMIA HUDUMA YA HALO SAINI BAADA YA KUJIUNGA KWA MARA YA KWANZA.
GHARAMA ZA HUDUMA NI TSH 30 /SIKU BAADA YA MUDA WA BURE

UTANGULIZI

HALO SAINI ni huduma inayo wawezesha wateja wa HALOTEL kuonyesha hisia kwa wapendwa wao kwa kuweka saini kama ujumbe na utaonekana kwenye simu wanazopiga au kupigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
=>Kujiunga na huduma
Tuma ON kwenda 15614 kusajili kifurushi cha siku.
Tuma ON30 kwenda 15614 kusajili kifurushi cha mwezi.
=>Kuwezesha saini: Tuma SAINI <UjumbeWaSaini> kwenda 15614.

FAIDA ZA HUDUMA

-Husaidia wateja kuonyeshana upendo.
-Husadia wateja kujitambulisha kwa saini.
-Husaidia wateja kutanagaza biashara.
-Huwezesha mawasiliano baina ya wateja.
-Husaidia wateja kujulishana hali.
-Huduma hii ni kwa wateja wote wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 30 /Siku.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 600/Mwezi.
-Kubadili SAINI: Buree na unaruhusiwa kubadili mara nyingi uwezavyo.

UNGANA NASI KUPITIA
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-8-1_17-33-6.png


Pata wiki moja bure kwa kujiunga na Huduma ya HALO BEATZ na uweze kutuma na kuweka nyimbo uzipendazo kwa marafiki pale wanapokupigia kwa kutuma ON kwenda 15607.
Piga 15607 (Gharama: Tsh 20/Dakika) kupata nyimbo nyingi mpya za chaguo lako.
Gharama ya kujisajili ni Tsh 175/Wiki baada ya promosheni.

UTANGULIZI.
HALO BEATZ
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL kuweka miito wanayoipenda isikike pale wanapipigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na huduma: Tuma ON kwenda 15607 au piga *15607*1#
-Kupakua nyimbo:Tuma PATA codeyawimbo kwenda 15607 au piga *15607*Codeyawimbo#
-Kupata orodha ya nyimbo mpya: Tuma MPYA kwenda 15607 au piga *15607*5#
-Orodha ya nyimbo kwenye Albam: Tuma ORODHA kwenda 15607 au piga *15607*6#
-Kusikiliza nyimbo kwa kuchagua nyimbo bora: Piga 15607

GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za kusajili: Tsh.175/Wiki
-Gharama ya wimbo kupakua/Wekaupya/Nakili: Tsh.400/Nyimbo kwa mwezi
-Gharama ya kusikiliza (IVR): Tsh.20/Dakika

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Barua pepe: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-8-1_18-26-9.png

MAKABITHIANO YA ZAWADI KWA MSHINDI WA PROGRAMU YA HALO SOKA EURO 2016
Pongezi nyingi kwa Said H Ismail ambaye ni mshindi wetu wa awamu ya pili katika promosheni yetu iliyojulikana kama “Ruka na Euro 2016 na uibuke Mshindi”

Pichani ni Mshindi wetu Mr Said akipokea zawadi yake ya Tsh 100,000 kutoka kwa Wafanyakazi wa Halotel Makao Makuu
Nawashauri wote kuendelea kutumia Huduma mbalimbali za HALOTEL ilikujiongezea nafasi za kujishindia zawadi nyingi za thamani.
 
Huu mtandao niliuupenda kwa sababu ya speed nzuri ya Internet lakini sasa hivi imepungua sana, kiasi kwamba 3g yenu haina tofauti na wengine, au wateja wamekuwa wengi
 
upload_2016-8-2_18-25-49.png

Facebook BILA KIKOMO Kwenye Simu Yako Ya Mkononi Pasipokua Na INTANETI .

UTANGULIZI.
HALO FACEBOOK
ni huduma inayowawezesha wateja wa HALOTEL kutumia akaunti zao za Facebook kwa kutumia njia ya USSD.

UMUHUMU WA HUDUMA

-Mteja anapata nafasi ya kutumia akaunti yake ya Facebook bila intaneti.
-Kupitia huduma hii mtumiaji anaweza:
-Kuboresha taarifa.
-Kujibu maombi ya urafiki.
-Kuweka maoni katika kurasa za marafiki.
-Kutuma na kupokea ujumbe mfupi pamoja na taarifa mbalimbali za akaunti.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Piga *15604# ili kutumia huduma ya HALO FACEBOOK.
GHARAMA ZA HUDUMA
Gharama Za Huduma Baada Ya Muda Wa Promosheni
-Kifurushi cha siku Tsh 90/Siku

JIUNGE NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp:+255.627.942.367
Email:Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-8-3_18-46-47.png

UTNAGULIZI
SIMUCLIP ni huduma inayowarapa fursa wateja wa HALOTEL kufurahia video mbalimbali za kuchekkesha, mambo muhimu ya soka, dondoo za mapishi, vikatuni, n.k kupitia simu zao.

JINSI YA KUTUMIA SIMU
-Tuma “ON” kwenda 15738 au piga *15738*1# kujiunga na Kifurushi cha siku
-Tuma “ON7” kwenda 15738 au piga *15738*7# Kujiunga Kifurush cha Wiki.
-Tuma “ON30” kwenda 15738 au piga *15738*30# Kujiunga kifurushi cha Mwezi.
-Jinsi ya kutumia huduma: Kutazama/kupakua/zawadi video kupitiahttp://simu.co.tz/

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha Siku: Tsh:180/Siku
-Kifurushi cha Wiki: Tsh: 900/Wiki
-Kifurushi cha Mwezi: Tsh: 3,000/Mwezi
-Gharama za video
-Mteja aliyejiunga: Bure kutazama video zote.
-Mteja asiyejiunga: Kutazama kwa demo za video sekunde 30 tu.
-Kupakua/Zawadi: Tsh:300/Video.
-Gharama za Data: Bure

JIUNGE NASI
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-8-4_17-59-11.png

UTANGULIZI
Hadithi za Ajabu
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali nzuri za kushangaza,kusimumua na kukufahamisha mambo mbalimbali yanayotea ulimwenguni.

JINISI YA KUTUMIA HUDUMA
Kujiunga na Huduma:
-Tuma AJABU kwenda 15608

FAIDA ZA HUDUMA
-Huduma inampa mteja nafasi ya kupata kujua matukio mbalimbali.
-Huduma inampa mteja nafasi ya kufurahia pamoja na mafunzo ndani yake.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh.80/Siku

JIUNGE NASI

-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Halo mnazingua kinyama mie saivi nikifungua tu kifurushi zinaanza kuja application zinataka nifungue ile option ya download from unknown source
Hilo ni swala la simu yako mkuu.. Virus hao
 
upload_2016-8-5_18-16-22.png


UTANGULIZI

MPE SALIO ni huduma inayowapa fursa wateja wa Halotel kuhamisha salio kutoka kwenye akaunti yako kwenda akaunti nyingine.Huduma hii inaruhusu wateja wa HALOTEL kuzawadia muda wa maongezi na marafiki wanaowapenda.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Kutuma salio: Piga *101*NambayaMpokeaji*Kiasi#.

GHARAMA ZA HUDUMA
Huduma hii ni BURE!

VIGEZO NA MASHARTI
-Mteja anaetuma muda wa Maongezi
-Awe mteja wa Malipo kabla aliyewezeshwa kupiga na kupokea.
Mteja lazima awe ameongeza salio kwenye akaunti yake angalau mara moja baada ya kuwezesha.
-Mteja anaepokea
-Mteja awe amewezeshwa kupiga au kupiga na kupokea.
Kiwango cha Kutuma
-Kiwango cha chini cha kutuma muda wa maongezi ni Tsh.100

JIUNGE NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
View attachment 376545

UTANGULIZI

MPE SALIO ni huduma inayowapa fursa wateja wa Halotel kuhamisha salio kutoka kwenye akaunti yako kwenda akaunti nyingine.Huduma hii inaruhusu wateja wa HALOTEL kuzawadia muda wa maongezi na marafiki wanaowapenda.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Kutuma salio: Piga *101*NambayaMpokeaji*Kiasi#.

GHARAMA ZA HUDUMA
Huduma hii ni BURE!

VIGEZO NA MASHARTI
-Mteja anaetuma muda wa Maongezi
-Awe mteja wa Malipo kabla aliyewezeshwa kupiga na kupokea.
Mteja lazima awe ameongeza salio kwenye akaunti yake angalau mara moja baada ya kuwezesha.
-Mteja anaepokea
-Mteja awe amewezeshwa kupiga au kupiga na kupokea.
Kiwango cha Kutuma
-Kiwango cha chini cha kutuma muda wa maongezi ni Tsh.100

JIUNGE NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
Nikidial *148*55# au*148*66# haifungui kabisa it is just loading , simu yangu ni Samsung Galaxy s7edge. Nikiweka line ya mtandao mwingine inakubali.
 
Nikidial *148*55# au*148*66# haifungui kabisa it is just loading , simu yangu ni Samsung Galaxy s7edge. Nikiweka line ya mtandao mwingine inakubali.

piga 100 uwezeshe line yako ukisikia karibu halotel taarifa zako zimeshughulikiwa ndipo ufanye mengine
 
Mimi halotel mnataka kunishindaa kabisa yani nina MB100 but nikiwasha data kwa cmu yangu with halotel haikubali but nikieka line nyngn inakubali nimejarbu kucheck settings but no problems I guess it is halotel problem.... please msaada kutoka kwenu halotel coz hata cmu yangu hampokei huduma kwa wateja

nenda setting-mobile network- access point names- hitz-option button- new APN-name(andika halotel) - APN( Andika(b-internet)-option button-save
then connect data kwa halotel na weka 3G kwa halotel
 
upload_2016-8-6_14-12-27.png


UTANGULIZI KUHUSU HUDUMA

HALO FUN ni huduma ya kuburudisha na kufurahisha inayo kuwezesha kucheza Magemu kwenye intaneti kupitia simu yako ya mkononi. Kupitia huduma hii utapata nafasi ya kufurahia Magemu mbalimbali bila kikomo Magemu hayo ni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kupitia WAP: Tembelea http://halofun.co.tz kwa kujiunga na huduma
-Kupitia SMS:
-Tuma SMS “ON” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha siku.
-Tuma SMS “ON30” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha mwezi.
-Alafu tembelea http://halofun.co.tz ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 150/Siku
-Kifurushi cha mwezi: Tsh1,500/Mwezi

JIUNGE NASI

Facebook:VAS HALOTEL
WhatsApp:0627 942 367
Email:Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Naomba kujua gharama za Router zenu sababu nahitaji kununua hiyo kitu lakini bado sijaamua ipi itanifaa
 
Naomba kujua gharama za Router zenu sababu nahitaji kununua hiyo kitu lakini bado sijaamua ipi itanifaa @ HALOTEL VAS
 
upload_2016-8-8_16-29-31.png

Chati na ndugu jamaa na Marafiki Facebook katika Katika sikukuu hii ya Nane nane .

Tumia Facebook BILA KIKOMO Kwenye Simu Yako Ya Mkononi Pasipokua Na INTANETI na ufurahie siku yako.


UTANGULIZI.

HALO FACEBOOK
ni huduma inayowawezesha wateja wa HALOTEL kutumia akaunti zao za Facebook kwa kutumia njia ya USSD.

UMUHUMU WA HUDUMA

-Mteja anapata nafasi ya kutumia akaunti yake ya Facebook bila intaneti.
-Kupitia huduma hii mtumiaji anaweza:
-Kuboresha taarifa.
-Kujibu maombi ya urafiki.
-Kuweka maoni katika kurasa za marafiki.
-Kutuma na kupokea ujumbe mfupi pamoja na taarifa mbalimbali za akaunti.


JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Piga *15604# ili kutumia huduma ya HALO FACEBOOK.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku Tsh 90/Siku

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: +255.627.942.367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom