SIMBanking inapatikana kwa watumiaji wa HALOTEL!
UTAMBULISHO WA HUDUMA
Ni huduma ya kibenki inayokuruhusu kufanya aina yoyote ya miamala kwa kupitia simu yako ya mkononi
NAMBA YA HUDUMA
*150*03#
SIFA ZA HUDUMA
-Hamisha pesa kwenda akaunti yoyote ndani ya CRDB Benki.
-Hamisho la pesa kwenda huduma za simu-pesa
-Malipo ya bili (Brela, TRA, Luku, Dawasco/Moruwasa, Startimes, SUA n.k)
-Manunuzi ya muda wa maongezi kwako binafsi au mwingine
-Kuweza kutuma pesa kwa watu wasio na akaunti za benki au wasio na ATM kadi
-Kuangalia salio
-Kupata taarifa za miamala ya kibenki kutoka kwenye akaunti yako
-Kupata taarifa kwa watumiaji wa kadi za Tembo card, Visa, Master card
-Huwezesha usajili binafsi
-Kubadili namba ya siri.
-Inakupa nafasi ya kuchagua lugha, kiswahili au kiingereza.
FAIDA ZA HUDUMA
-Inakuwezesha kutumia akaunti yako ya benki mahali popote , muda wowote
-Inakuwezesha kutuma pesa kwa wapendwa wako bila usumbufu
-Inakuwezesha kulipa bili kwa wakati wako
-Inakuwezesha kufanya malipo kwa washiriki wako wa kibiashara muda wowote
-Inakuwezesha kuepuka usumbufu wa kutembelea benki kila muda
-Inaongeza matumiza ya simu
NAMNA YA KUWEZA KUTUMIA HUDUMA
-Inakupasa kuwa na akaunti hai ya CRDB benki, au kufungua akaunti MPYA kwenye benki ya CRDB. Unaweza kuwa na akaunti ya akiba au hundi
-Wateja wote wa CRDB wataweza kutumia huduma bila kujali aina za simu au mtandao wanaotumia
-Usajili ni rahisi na haraka. Kuanza kutumia huduma ya SimBanking, unahitajika kusajili kwenye tawi lolote la CRDB.
HUDUMA NI HUSUSANI KWA
Huduma ni mahususi kwa wateja wote wa CRBD Benki na HALOTEL.
JIUNGE NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@HALOTEL.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS