“RUKA NA EURO 2016, NA USHINDE”
Tuma EURO Kwenda 15602 Kujinga Na Huduma!
Muda Wa Kujiunga: Kuanzia Juni 10, Hadi Julai 10, 2016
-Siku 3 BURE Za Kujiunga Kwa Mara Ya Kwanza
-Jiunge Na Mchezo Wa Kuvutia
-Taarifa Moto Moto, Habari Za Moja Kwa Moja Za EURO 2016
- Pata Zawadi Nyingi Za Thamani
Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 100/Siku
ZAWADI
Mwishoni mwa hatua ya Makundi
-Zawadi 2 za Tsh 50,000
-Zawadi 5 za muda wa maongezi Tsh 10,000 kwa kila zawadi
Mwishoni mwa hatua ya Nusu Fainali
-Zawadi 1 ya Tsh 100,000
-Zawadi 5 za muda wa maongezi Tsh 10,000 kwa kila zawadi
Zawadi mwisho wa Fainali
-Zawadi maaalum Tsh 150,000
-Zawadi 10 za muda wa maongezi Tsh 10,000 kwa kila zawadi
TARATIBU ZA PROGRAMU
Mtumiaji atakayejiunga na huduma ya HALO SOKA EURO atahusika katika programu hii. Wataingia katika mchezo na kujibu maswali mbali mbali ya machaguzi na kujikusanyia pointi kila siku na kupokea zawadi kem kem baada ya mchezo kuisha (Zawadi zitatolewa kila baada ya mzunguko mmoja).
-Mchezo umegawanyika katika sehemu 03: Hatua ya Kufuzu; Hatua ya nusu Fainali; Hatua ya Fainali
-Mshindi mwenye pointi nyingi atachaguliwa katika kila hatua atachaguliwa
-Mtumiaji atapata pointi kwa siku kila anapofanikiwa kuongeza muda wa matumizi wa huduma.
Taratibu Za Mchezo
-Pointi za kujiunga na huduma: Mteja atapokea pointi 50 kama atafanikiwa kujiunga na huduma.
-Pointi za ziada baada ya kuongeza muda wa matumizi ya huduma
-Kama mtumiaji atafanikiwa kuongeza muda wa matumizi atapata pointi
20.
-Kama mteja hataongeza muda wa matumizi wa huduma atapata pointi
0.
-Pointi za ziada baada ya kujibu maswali
-Mteja aatapokea swali kila siku. Maswali 3 yakiwa katika mfumo wa kuchagua. Kujibu swali mteja atatuma 1 au 2 au 3 kwenda 15602
-Kama jibu la mteja ni sahihi atapokea pointi
10.
-Kama jibu la mteja si sahihi atapokea pointi
0.
-Kama watumiaji wengi wana pointi nyingi zinazolingana, mshindi atapatikana kwa njia ya kuchezesha droo kupitia njia ya Random Generator katika tovuti
RANDOM.ORG - True Random Number Service watakao ingia katika droo ni orodha ya wenye pointi nyingi na mshindi ni atakayekua wa kwanza katika orodha hiyo baada ya droo kuchezeshwa.
- Sheria za kujiunga
-Kujiunga tuma EURO kwenda 15602.
-Tumia huduma ya EURO katika kipindi chote cha program, bila kusitisha katika muda wowote.
Vigezo Vya Mshindi
-Mtumiaji wa njia 2 zanazofanya kazi.
-Mtumiaji aliye jiunga na EURO kabla ya Julai 11, 2016.
-Ambae anaongeza muda wa matumizi ya huduma kila siku (Kwa gharama kuanzia Juni 12 hadi Julai 10).
-Mtumiaji hatositisha huduma ya EURO kwa kipindi chote cha programu.
-Gharama zote za usafiri, malazi, mshindi atalazimika kulipia mshindi pindi anapikuja kuchukua zawadi yake.
-Mshindi atalazimika kulipia kodi (Kama ipo) kwa mujibu wa sheria.
-Taarifa kuhusu mshindi zitatangazwa katika kurasa za habari za HALOTEL.
- HALOTEL itakua huru kutumia majina na picha za washindi katika shughuli zote za matangazo ya biashara.
- Kama kutakua na malalamiko yeyote katika kipindi chote cha programu HALOTEL atawajibika katika kufanya maamuzi ya mwisho, na washiriki wote lazima wayafuate.
- Kama HALOTEL haitapata washindi wa kwanza, zawadi ipo ni ya kipindi kifupi, HALOTEL itafanya maamuzi ya busara!
UNGANA NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: +255.627.942.367
Email: Vas@Halotel.co.tz