rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Nimerefresh hadi vidole vinauma.....
Mi huku nishafanya mambo et
Nimerefresh hadi vidole vinauma.....
Ahsante kwa maoni yako.Namba za kuongea na huduma kwa mteja ni 100 au 0620 100 100 kama ulivyoeleza. Tumepokea maoni yako na tutayafanyia kazi.Mkuu naomba utuwekee hapa namba zenu za customer care ambazo TUKIPATA TATIZO TUKIPIGA TUTAONGEA NA MHUDUMU MOJA KWA MOJA. Namba zingine kama 100 au 0620 100 100 hazina msaada wowote kwa mteja pale anapohitaji msaada kwa kuongea na mhudumu wenu.
Ninachojiuliza ni kwa nini hiyo namba haiwekwi hadharani kwa muda mrefu sasa kwa manufaa ya wateja?
Ahsante kwa maoni yako.Ni jukumu letu kuyachukua na kuyatekeleza ili kutoa huduma bora kwa wateja wetu.Sisi tuliozoea kuongeza salio kwa mobile money mtukumbuke, mambo ya kwenda dukani halafu kukwangua vikaratasi tulishasahau. Otherwise net yenu ipo safi na inapatikana poa hata maeneo ambayo vocha zenu hazipo, sasa mobile money itaziba mwanya huo.
Kwenye Holo Movie hamnioni coz kuna site ya Kudownload movie + Drama zilizotafasiliwa kiswahili Kwa Bei Chee kabisha HALOTEL VAS Mjipange sana kwa bidhaa zenuView attachment 346398
Tembelea http://halomovie.co.tz kufurahia filamu ya “Edge of Tomorrow” iliyochezwa na wacheza filamu maarafu Tom Cruise, Emily Blunt, Bill Paxton.
UTANGULIZI.
HALO MOVIE ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za kipekee za nyumbani na kimataifa kwenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tableti. Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia za ndani na zile za kimataifa.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hiki Mwanzo.
GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000;Pata filamu 15 bure.
-Hitaji filamu: Tsh 300/Filamu.
-Gharama za Data: Bure
JIUNGE NASI
-Facebook: VAS Halotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
Inaitwaje hyo websiteKwenye Holo Movie hamnioni coz kuna site ya Kudownload movie + Drama zilizotafasiliwa kiswahili Kwa Bei Chee kabisha HALOTEL VAS Mjipange sana kwa bidhaa zenu
Mkuu kwa nia njema kabisa nakuomba urudi na uwaeleze wadau kwamba kwa kujiunga na Halo movie na kulipia hizo Tshs. 600/= kwa wiki na 2,000/= kwa mwezi KAMWE hauwezi kuangalia hizo movie 4 au 15 BURE (bila kulipia gharama za data) kama mlivyoandika kwenye tangazo lenu la promotion. Hizo 600/= na 2,000/= ni kwa ajili tu ya kujisajili kwenye huduma hiyo kwa wiki au mwezi na kuishia tu kuona orodha ya muvi zote zilizopo lakini ili uweze kuangalia hizo movie LAZIMA uwe umenunua internet bundle la kutosha.View attachment 346398