Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Wekeni code za kufanya miamala kama vile kutuma salio kwa namba nyingine na huduma nyingine ambazo hazipo ktk menu yenu
 
midundo-eng-01-png.343472


UTANGULIZI
MIDUNDO
ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
Kusajili

- Kifurushi cha Siku: Piga *15574*1# au tuma ON kwenda 15574
- Kifurushi cha Mwezi: Piga *15574*7# au tuma ON7 kwenda 15574
- Unaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea http://midundo.co.tz

FAIDA ZA HUDUMA
Huduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.

GHARAMA ZA HUDUMA
Gharama za Kifurushi
- Kifurushi cha Siku: Tsh 60
- Kifurushi cha wiki: 300 Tsh

Kupakua
- Wimbo: Tsh.300
- Mlio: Tsh.150
- Muito: Tsh.400
- Video: Tsh.300
- Radio: Tsh.300
- Picha: Tsh.100
Kwa gharama hizi, mtumiaji wa HALOTEL aliyejisajili kwenye huduma atatumia data bure kutazama na kusikiliza nyimbo.

JOIN WITH US
- Facebook: VAS Halotel
 
upload_2016-5-5_17-37-50.png



Enjoying HALO SOKA, Getting iPhone


SERVICE INTRODUCTION


HALO SOKA service allows HALOTEL customers to get access of football information from all major leagues around the world.

HOW TO USE HALO SOKA SERVICE

-Send LIVE LeagueCode to 15602 for receiving live match events including updates and scores user will be notified.
-Send TIP LeagueCode to 15602 for receiving soccer TIPs from all major leagues around the world.

-Send NEWS LeagueCode to 15602 for getting football news from all major leagues around the world.

- Send HOT LeagueCode to 15602 for receiving hot news regarding football from all major leagues around the world.

The League Codes are as follows:

C1: Champion League C2: Europa League

PL: Premier League LL: La Liga League

SL: Serie A League BL: Bundesliga League

A LUCKIEST PRIZE AT THE END OF CHAMPIONS LEAGUE AND PREMIER LEAGUE

-The subscribers who register HALO SOKA’s LIVE PL or LIVE C1 services will take part in this program. They will accumulate bonus point everyday and receive prize from HALOTEL when the game ends (Prize is estimated to give in early June, 2016).

-In case of there are many subscribers having the same highest points. The winner will be chosen by Random Generator tool on the website RANDOM.ORG - True Random Number Service. The input is subscribers list, the output is the ranking subscribers list and the winning subscriber is the 1st subscriber in the ranking list.

SERVICE FEES

-Customer is free for 03 days after registration.

- Charges after promotion will be 100 Tsh/Day.

JOIN WITH US

-Facebook: VAS HALOTEL

-WhatsApp: 0627 942 367

-Email: Vas@Halotel.co.tz
 
Na hiii mtu unajiungaa alafuu ukiuliza salio la kifirushi chakoo unaambiwaa hujajiungaa na kifirishi chochotee tenaa unaambiwaa ujiungee na kifurushi hii nayoo imekaa jee..
 
upload_2016-5-6_18-10-9.png


UTANGULIZI KUHUSU HUDUMA
HALO FUN ni huduma ya kuburudisha na kufurahisha inayo kuwezesha kucheza Magemu kwenye intaneti kupitia simu yako ya mkononi,kupitia huduma hii utapata nafasi ya kufurahia Magemu mbalimbali bila kikomo Magemu hayo ni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kupitia WAP: Tembelea http://halofun.co.tz kwa kujiunga na huduma
-Kupitia SMS
-Tuma SMS “ON” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha siku
-Tuma SMS “ON30” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha Mwezi
-Alafu tembelea http://halofun.co.tz ili kutumia huduma

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 150/Siku
-Kifurushi cha Mwezi Tsh1,500

JIUNGE NASI KUPITIA

Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
 
upload_2016-5-7_12-47-53.png

UTANGULIZI

HABARI ni huduma inayowawezesha wateja wa Halotel kupata habari mbalimbali muhimu za jamii, siasa na michezo kutoka kila kona ya Dunia. Huduma inawapa fursa wateja kufahamu kile kinachoendelea ndani na nje ya nchi kila siku.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

- Unaweza kujiunga na huduma kwa:

-Kupitia USSD: Piga *149*64# Kisha chagua Habari

-Kupitia STK:

-Kupitia SMS :

-Tuma neno HABARI kwenda 15608 kusajili huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 50/Siku

JIUNGE NASI:

- Facebook: VAS HALOTEL

-WhatsApp: 0627 942 367

-Email: Vas@Halotel.co.tz
 
Back
Top Bottom