Hiyo recipe yake ikoje ka mkubwaOgea maji chumvi utapata usingizi wa ajabu.. It worked to me and many others
Jr[emoji769]
Kifo kinatisha sana, lakini tulishaambiwa kuwa,ili Mbegu iweze kuota na kuwa mmea,ni lazima ife na iharibike kwanza. Tujiandae tu,hakuna namnaKifo kinatisha jamani juzi kafariki mkaka namfaham bado kijana mdogo kaniuma jamani ,hivi kwanini waliweka kifo tungekuwa tunaulizwa nisingekubaliwa kuzaliwa hakika,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka ujue raha ya msiba kaage maiti iliyolala Kimya kwenye jeneza huku imefumba macho na huku imepauka kwa damu kuganda halafu ina pamba mdomoni na puani na huo mkao ndio wa milele Kama alikuwa anakudai hutamlipa milele milele milele na Kama mlikuwa hamJasameheana ndio milele na milele yeye anaenda kuliwa na funza na mafunyo yatakayotoka sehemu zote za matundu ya mwili Kwahiyo mwanamke mafunyo mengi yanatokea kwenye uke yakitokea tumboni Kwahiyo uke uliotunyima duniani sasa ndio njia kubwa sana ya mafunyo ya njano huku sanda ikilowa ujiuji WA njano na kijani unaonuka vibaya mnooooUmenikumbusha kitu kikubwa sana, nitajitahidi kusawazisha mahusiano yangu na Mungu. Asante Sana Mshana Jr umenisaidia Sana kiroho... Naomba Mungu anipe nguvu ya kusimama katika kweli yake. Amina
Kwani kama kifo kipo ndiyo mtu agawe tu uchi mkuu? Kila mtu ana haki ya kutogawa mwili wake hovyo kisa eti akifa anaozaU
Ukitaka ujue raha ya msiba kaage maiti iliyolala Kimya kwenye jeneza huku imefumba macho na huku imepauka kwa damu kuganda halafu ina pamba mdomoni na puani na huo mkao ndio wa milele Kama alikuwa anakudai hutamlipa milele milele milele na Kama mlikuwa hamJasameheana ndio milele na milele yeye anaenda kuliwa na funza na mafunyo yatakayotoka sehemu zote za matundu ya mwili Kwahiyo mwanamke mafunyo mengi yanatokea kwenye uke yakitokea tumboni Kwahiyo uke uliotunyima duniani sasa ndio njia kubwa sana ya mafunyo ya njano huku sanda ikilowa ujiuji WA njano na kijani unaonuka vibaya mnoooo
Ficha ujinga wakoU

Siyo wewe mkuu,naongelea utumbo alio- comment superbug kwenye thread yakoNimeandika mada ya kuhudhuria msiba
Jr[emoji769]
hili shairi beti zingine hata nimeskrolll mpka mwisho, bet moja inatosha
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji24][emoji24][emoji144][emoji144][emoji144]Moja kati ya mawaidha bora kabisa! Katika hili hakuna kukwepa..iko siku tutafukiwa chini ardhini na wapendwa wetu tutawaacha wakilia na kuomboleza..muhimu ni kujiandaa tu! Tuishi kwa wema hatujui kesho yetu.
Usifanye hivo,hudhuria misiba I'll uhuzunike ikukumbushe tobaMie jamani nashindwa kwenda misibani
Naweza nikajitayarisha kabisa
Nikarudi kukaa chini
Kwa misiba ya majirani na marafiki
Ila ile ya kifamilia nahudhuria japo sitizami marehemu,
Nikitoka hapo na kuwa na huzuni wiki nzima