Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Barikiwa saana
 
🙏🙏🙏🙏👍
 
Kwa nini uwe tegemezi?

Kwani unadhani umezuiwa kutumia app za kichina?

Marekani wanafanya fitna na china nao wana fanya fitna vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiseme US sema dunia, dunia haijazuiwa kutumia OS na apps za za kichina. Hawatumii sababu hazina mvuto. Dunia inatumia OS za US sababu zina mvuto, ni bora, na zinakidhi viwango vya kimataifa. Wachina wanatumia za kwao sababu za US zimezuiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu zile tuhuma za USA kupitia NSA za ku wa spy viongozi wa ulaya wakina Merkel na kibaya zaidi ushahidi ulikuwepo.

USA walikua wanadukua maongezi ya viongozi wa ulaya una lizungumziaje hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni haki yao lazima wajue nani ni rafiki wa kweli na yupi ni mamluki. Pia kwa usalama wa watu Dunia Nzima,ni mara ngapi Marekani imekua ikionya juu ya mipango ya mashambulizi ya kigaidi na kusaida nchi husika kutibua mipango ya magaidi,huwezi fananisha na China ambayo taarifa za udukuzi ni zao wao pekee kwa maslahi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unaona marekani kudukua ni sahihi?

Ila akidukiliwa yeye ni shida au siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi inawapasa warudi wakatengeze simu kwao ili kuepuka yote hayo.

Kibaya hapo China ni soko la uhakika sana la hizo bidhaa na ukizingatia wana nguvu kubwa sana ya manunuzi

China kamawahi marekani kwa kufanya procteonism ambapo marekani ndio wamekumbuka sasa hivi kwa kupitia rais wao trump ndio maana umeona anasema america first

ameanza mpaka kupinga magari yanayo toka ujerumani na ujerumani akasema tunapeleka magari kwenu sababu tuna tengeneza magari yenye ubora zaidi na raia wa USA wanayapenda

Marekani ina deficit trade na nchi nyingi tu na ni kwa sababu walizubaa walilewa na mavita vita yasiyokua na mpango.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata USA nayo imeonyonywa sana na mataifa mengine kuhusu mashambulizi ya kigaidi hata ile sept 11 walionywa pia

Mataifa mengi kwenye masuala ya ugaidi huwa wanapeana intel sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo wito wa rais trump makampuni yarudi nyumbani.
China ananufaika Sana na uwepo wa yale makampuni eti?!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema sasa ishu ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nikakuambia fikiria vizuri lakin wewe hujataka kabisa kufikiri. Kwani hivyo vifaa vya huawei ambavyo US imekataza vinatengenezwa US? umshauri China akatengenezee China!.
au unafikiri china naye anapopiga pini vitu vya US anaangalia kama ni made in US au made in China?! Kinachoangaliwa hapo ni product ya US hata kama imetengenezwa US kwenyewe au ndani ya china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua kwamba kule china google play store ilipigwa ban muda mrefu tu?wachina wanatumia app zao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Apps zao wenyewe ngapi?

Play Store na App store ina zaidi ya app malaki za kila aina na zenye uwezo wa kufanya mambo mbalimbali.

Mpaka waweze tengeneza apps zao wangeshakuwa na store yao mbadala wa hizi store maarufu.

Na ndo ingekuwa rahisi kutengeneza OS yao.

Kutengeneza OS ni rahisi ila hutapata developers wa kukutengenezea apps waulize Windows OS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apps 4 unataka kulinganisha na msitu wa play store?

Kilichofanyika ni kuzuia baadhi ya apps kwa masoko ya uchina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…