Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

China hajagoma negotiations fuatilia vizuri,kipindi wanafanya negotiations USA wakaweka tena tariffs sasa hapa kisaikolojia niku mzingua mwenzako

Yani ni sawa me napigana vitu na wewe halafu tukiwa kwenye negotiations table huku nje ninasikia ulipua nyumba yangu hapo unafikiri negotiations itaendelea?

Na hata bwana mdogo kim ndio maana kashindwa kufikia muafaka na trump kwa sababu kama hizo hamuwezi mkawa mnafanya negotiations halafu huku unasikia south korea and USA military drills zinaendelea kwenye korean peninsula au mara sanctions mpya zimewekwa hivi punde hivi unadhani negotiations zitaendelea vizuri labda kama uwe una negotiate na malawi au burundi ila sio nchi kama china wanaelewa sana psychological warfare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu mkuu sijui unaandika nn hii sytem ya uchumi tunayo tumia wame anzisha hao marekani kumbuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna huzungumzii product za US zilizo pigwa ban china kama google.facebook. kwa sababu Kama hiyo ya usalama wa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu unaona sawa kwa US kubaniwa ila china kubaniwa wana onewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.

Sent using Jamii Forums mobile app

Iphone aitengenezwi china peke ake foxconn ni campany kubwa ikifanya ivo itakosa kibali cha kutengeneza vifaa vya apple sasa ajira china ndo itakua tabu ila ingekua tanzania kwa sasa ingewezekana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa mkuu unaona sawa kwa US kubaniwa ila china kubaniwa wana onewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu aliyesema China kaonewa,ukipata opportunity ya kufanya kitu unafanya marekani walizubaa wakaingizwa mkenge na china ikajiimarisha

Swali la msingi na hata wengine nimewauliza kwa nini USA walisaini mikataba kama hiyo kwa China kama hiyo ya transfer technology?

Maana china kipindi hicho ilikua ipo nyuma sana maana ilikua ni miaka 70 ambapo ilikua ni miaka 21 tu toka wapate uhuru halafu wakaingiza chaka nchi ambayo ni super power mpaka leo

Hapa china na wachina lazima tuwape credit mno wame fight sana kuwa hapo walipo sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo USA uzalishaji ni gharama kubwa wafanyakazi wanahitaji mishahara mikubwa mno. Kwahiyo China inampigia bao Kwa cheap labour . Na bado kuna mgombea Urais anaitwa Bernie Sanders anasema anataka kuongeza kima cha chini kiwe juu zaidi nafikiri ndio kiuiua USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hazipo sasa hizo applications kule china wao wako comfortable na wechat zao na baidu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo comfortable wap wakati wamefungiwa kutumia mitandao ya kigeni.kama wange kuwa comfortable wangefungulia tuone ushindani wa kweli.US yupo sahihi kama china alivyo sahihi kufungia products za US

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umeongea swala la msingi ambapo marekani itapata sana shida kurudisha viwanda kwao kule kuna khaki za kila aina na moja ya sababu za ndani za viwanda kwenda China ni union workers,over regulations,over taxation,high cost of labour etc.

We fikiria upeleke kiwanda china ukazalishe halafu kirudi nyumbani kiki bado ni bei rahisi ukilinganisha na kilicho tengenezwa nyumbani

Na ndio maana china haitaki democracy kabisa inajua wataanguka.

Kweli nchi ikitaka iendelee weka dictator.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo comfortable wap wakati wamefungiwa kutumia mitandao ya kigeni.kama wange kuwa comfortable wangefungulia tuone ushindani wa kweli.US yupo sahihi kama china alivyo sahihi kufungia products za US

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio comfortability yao hiyo na wanaishi vizuri tu na wamezoea na wakizaliwa wanakuta hizo sheria na wanaenda nazo sambamba kama hutaki una hama china au unaenda jela no discussions na ndio maisha waliyo jichagulia umewahi kusikia wachina wanalalamika kuhusu mitandao ya kijamii?

Hao ni biashara kwenda mbele hapa ndio ulalamishi kwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unatapatapa mkuu malezo mengi ushahidi amna.china ndo amenza kuban product za US acha aisome namba.
Punguza mahaba.


Over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa maelezo Kamali. kinacho fahamika wame sitisha matumizi na sio manunuzi so Kama losi washakula

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kama stock za Boeing nazo zimeshuka siku hizi mbili?

Boeing wao wana bembeleza airlines wawe watulivu wewe unakuja kutoa pumba zako hapa

Unadhani airbus wanaichukiliaje hiyo advantage?

muda si mrefu kuna Boeing Kama hiyo 737 max kutoka Stockholm kwenda Israel imerudi wakiogopa kupata majanga na walikua wamefika mpaka Romania

It is a serious issue kwa kampuni kama Boeing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani hakuwahi kujisahau kwenye uchumi hata mara moja,hiyo China yenyewe leo imekua tajiri sababu ya Marekani maana kampuni nyingi zilizo China ni za Marekani. Na sasa gharama za uzalishaji nchini China zinaanza kua juu pia na hii inapelekea kampuni nyingi kuhamisha shughuli zao za uzalishaji kwenye nchi nyingine jirani kama Vietnam, Indonesia,nk. Pia trade war nayo imechangia kampuni kuhamisha shughuli zao nchi nyingine. Na kwa sasa uchumi wa China umeshaanza kupungua nguvu/Kasi ya ukuaji kutokana na kupungua kwa export,nk.

Embu mkuu nitajie teknolojia hata moja iloyogunduliwa na China?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi Trump anavyosema ata make america great again atakua anatuongopea si ndiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi Trump anavyosema ata make america great again atakua anatuongopea si ndiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sera yake ya kumake America great again imeleta mafanikio,uchumi unakua na baadhi ya viwanda vinaanza kufunguliwa tena kuanza uzalishaji (mfano,vya chuma/alumini), Mexico-canada-usa trade deal,nk.
Kuidhibiti China kuendelea kuiba teknolojia za kampuni za kigeni hasa za Marekani,na bado anataka WTO ifumuliwe iundwe upya sababu ni kama inaionyonya Marekani kumbuka kwenye WTO China anatambulika kama nchi inayoendelea na sio iliyoendelea wakati ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…