Xiaomi ni Android na iphone ni ios.Mkuu uje na hoja kwa nini haiwezi kuwa mbadala wa iPhone. Jitahidi kuwatendea haki wachangiaji ili nawe uwe sehemu ya kujibiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona akili nyingi kwenye huu uzi zaidi ya watu kuweka hoja za kuambiwa na za kugoogle kwenye internet.Toa hoja acha mambo ya kipumbavu na mahaba, huu uzi unahitaji akili nyingi sana, nafikiri wewe wewe ndo utakuwa wa kwanza kutoa vikoments vya aina hiyo. Uzi umekuzidi kimo huu bosi , kuwa mpole hatuendi kwa mahaba humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia smarter za silicon na germanium ziko wapi...!!!Acha kutufunga kamba, Silicon siyo expensive kama unavyodai, inapatikana kwa wingi sana duniani (mchanga) na haihitaji processing kubwa kuipata.
Na hiyo kudai China wanaunganisha tuu, hiyo ni kawaida kwa makampuni mengi sana, hata kampuni za magari, hazi tengenezi kila kitu wenyewe, mfano; utaona baadhi ya magari ya GM (US) yanatumia ABS module na multi port injection system kama Motronic kutoka Bosch (Germany) ambayo utakuta inatumia chipset kutoka Japan. Kadhalika Boeing pia wanatumia Engine za Rolls-Royce (UK) na GE (US).
Duniani kutegemeana, ukiona mwenzako mjuzi katika kitu kimoja au anatengeneza kwa gharama nafuu unaazima ujuzi, maisha yanaendelea.
Fuatilia smarter za silicon na germanium ziko wapi...!!!
Kama ni simple kila nchi ingeweza kutengeneza simu ....
Micro processing devices nyingi zinatengenezwa Singapore na South korea....
Processor na transistor za iPhone zinatengenezwa South korea na kwanini siyo marekani huko huko..??..
Nchi nyingi kama China anafanya electronic assembling devices na si kingine...
Kajitahidi sana ni kutengeneza clone microtransistor ambazo zinakuwa "clone" za simu original...
Hizi simu ambazo tunapata huku toka dubai au china ni clone phones from resmarted silicon conductors ..kwa maelezo zaidi waulize wanaofata mzigo wa iPhone China watakupa ABC kuhusu hiyo kitu...
Mwanzoni hata mimi niliamini mchina anatengeneza kweli but nimekuja kugundua anafanya assembling katika level kubwa sana na kajitahidi sana ni kuwa na uwezo wa kuassemble clone conductors za silicon kisha kupata a complete assembled phone( clone)....kwenye soko la simu huko china simu zinazoletwa huku Africa zinaitwa "clone" means copy ya original but its not an original one.
Juzi juzi ndo kapata smarter ya silicon toka sumsung group( south korea) ambapo sasa ndo anaanza kutengeneza micro processor katika grade ya juu na itakuwa katika ubora wa silicon kama zilivyo simu za iPhone na Sumsung pamoja na Nokia toka Taiwan...
Ndo mana hata Finland wamempa smarter ya silicon sasa hivi na ndo mana tumeona toleo jipya la Nokia android clone imetengenezwa ( assembling) China ila Microprocessor zote ni Singapore na south korea...
Simu mpya ya Nokia ukisoma kwenye maandishi wanasema imetengenezwa China lakini sio kweli..ili kukudhihilishia kuwa China anafanya assembling soma manufacturer wa simu yenyewe ,ni Faxconn toka Taiwan huko ila China ndo kaingia ubia wa kufanya assembling kwa sababu mashine za kufanya assembling zipo China huko ...
Nitakuwekea hapa chini ujue kwanini simu za Nokia zinafanyiwa release China ila kiwanda chake kipo Taiwan na Singapore huko ndo vinatengenezwa vifaa vyake...
Na haya ni makubaliano maalumu kati ya serikali ya China na nchi zenye uwezo mkubwa katika mambo ya kielectronic kumpa uwezo nae wa kuinua income yake ila sio kwamba assembling inashindwa kufanyika hata huko Nchi za Juu...
Usione kama watu hatujui ila tunashangaaa Unavyoipaisha China kama vile jamaa anafanya kila kitu... anahangaika na vitisho vya U.S.A kwa sababu hatafanya kazi kama hiyo..na akifanya kazi hiyo ndo pesa anapata kupitia manunuzi ya simu hizo kwao na ndo supplier wa African countries na Asia..
Sent using Nokia 8 Plus
Ilionywa na mataifa Gani?!Hata USA nayo imeonyonywa sana na mataifa mengine kuhusu mashambulizi ya kigaidi hata ile sept 11 walionywa pia
Mataifa mengi kwenye masuala ya ugaidi huwa wanapeana intel sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina ni wa kupigwa vita duniani kote,hata Aliko Dangote alishawahi kuelezea hili.hizo ni allegations tu na hakuna ushahidi na hata devices za marekani huwa zina spy na ndio maana russia waligoma kutumia Windows 10 kwa kua inatuma taarifa Microsoft
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani na China ni vitu viwili tofauti kabisa.Kwa hiyo unaona marekani kudukua ni sahihi?
Ila akidukiliwa yeye ni shida au siyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanguka kwa China ni rahisi kuliko USA.Marekani na China ni vitu viwili tofauti kabisa.
China wana sheria inayotaka kampuni zao na hata zile za nje zinazotoa huduma ndani ya China kuisaidia au kutoa taarifa za udukuzi kwa serikali wakati kwa Marekani ni tofauti,kampuni ina Uhuru wa kutoa au kutotoa msaada kwa serikali. Nadhani unakumbuka lile saga la Apple vs FBI
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi mkuu watajibiwa ipasavyoKuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hivi jamaa ile Rasimu ya Warioba uliyosema ndiyo katiba ya nchi iko wapi ?
Hivyo ulivyojibu tu inatosha haijalishi hoja ina ukweli au laSijaona akili nyingi kwenye huu uzi zaidi ya watu kuweka hoja za kuambiwa na za kugoogle kwenye internet.
Mtu anayesema xiaomi ni mbadala wa iphone ndo mwenye akili nyingi?
Xiaomi. Vivo. Oppo Huawei. Samsungu. HTC. LG. Lenovo. Hizo zote ni simu za jamii moja. Unapata wapi hizo akili nyingi za kusema ni mbadala wa iphone?
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala ni kwamba iphone zitaendelea kuwa assembled na kuuzwa na marekani wataendelea kupata faida hata zikiwa asembled india. China watakosa wanachopata kitaamia india (nimeitaja india kwa sababu india kuna cheap and skilled labour kama china, makampuni mengi ya kibepali wanaenda huko kama alternative) sasa nidadavulie, ni nani atalose hapo?Kati ya marekani na china unadhani nani atapata hasara zaidi kama china akiacha kutengeneza iPhone fikiria halafu uje na jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anatangeneza simu ya 1000usd na mwingine anatengeneza simu ya 300usd. So ukiambiwa aple anaongoza market share regardres kapitwa kwenye suply inabidi utumie akili ndogo kama hii.unasemaje anaongoza market share halafu hapo hapo ukasema alipitwa?... ina maana haongozi.... msitulishe matango pori nyinyi
Sasa kwa nini huawei anahangaika na soko la marekani? Inamaana halijui hilo. Huawei anahitaji sana playstore na hizo ulizo zi quote for global market.China ina watu 1.4B, na wenye kipato cha kati ni zaidi ya 700mil, up hapo?
Ni katika kutanua wigo.Sasa kwa nini huawei anahangaika na soko la marekani? Inamaana halijui hilo. Huawei anahitaji sana playstore na hizo ulizo zi quote for global market.