Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

Unaweza ku unlock ila unaweza tumia line ya TTCL au Sasatel tu
 
model :Huawei EC122 , FCC ID:QISEC122 ESN:0778D77A S/N:HIA9MB1160712087



mwenye kufahamu code yake anitumia PM
 
nadhani proces ni ndefu mpaka ya kupata unlock code nadhani kama unaweza kuitafuta na kunitumia moja kwa moja ili iwe rais kupunguza mizunguko

Hata miye naomba msaada wa unlocking code HUAWEI
Model: E153u-1
IMEI: 352375047382569
S/N: KMA4CA1160200192
atakaeweza kunisaidia aniPM.
 
Hata miye naomba msaada wa unlocking code HUAWEI Model: E153u-1 IMEI: 352375047382569 S/N: KMA4CA1160200192 atakaeweza kunisaidia aniPM.
UNLOCK CODE : 64422160, FLASH CODE : 64343579. Codes ndiyo hizo lakini sijui utazitumia wapi maana ili codes hizi ziwe na maana,inatakiwa modem yako iliyowekwa sim-card tofauti ukiichomeka kwenye pc yako ikuombe "unlocking code". Lakini hizi za sasa ikiwemo hiyo, hazina swali hilo na hivyo kuwa vigumu ku-unlock. Mimi pia ninayo modem kama hiyo ambayo nimeshindwa kui-unlock licha ya kuwa na software ya kufyatulia unlocking codes.
 
Nimenunua moderm mpya kabisa ya Zantel ,na nimeangalia requirements za laptop yangu (key features required)kuwa inazi-meet,nime install vizuri tu ile Mobile partner software,na kwenye menu bar imeandika Hybrid , na inaonekana iko full,tatizo nikitaka ku connect inasearch halafu baadae inaniletea pop up msg hii-" The remote connection was denied because the user name, and the password combination you provided is not recognised, or the selected authentification protocol is not permitted on the remote acces server"- (hakuna user name wala password iliyoingiza).Msaada wanajamvi nifanyeje hapo, na nimetamanishwa kuwa nitakuwa na siku tatu za unlimited acces.Natanguliza shukurani.Fakhi
 
nenda kwa settings weka phone number '#777' na username '@zantel.com' sehemu ya password acha tupu then re-dial
 
vp ulifanikiwa kupata solution ya ishu yako ya zantel? maana na mii imntokea na nimeshindwa kupata suluhu. na nimemjaribu kufanya kama jamaa alivoelekeza nikakuta kila kitu kiko poa but tatzo liko pale pale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom