Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

daaaaaaaaaah na mimi nina tatizo hili hili la kutokupandisha mnala naombeni msaada maana nilijalibu kuiunloack
 
Hacha pumba kijana!! Magwiji wamechemka itakuwa weye? Anyway weka hiyo software hapa alafu ueleze step kwa step jinsi ya kuifanya isome GSM ili walionazo wafute vumbi then walete mshindo nyuma
Nimefungua ya kwangu inafanya kazi na mobile network zote even thought its using CDMA technology.

Ingia hapa kuna software special kwa ajili ya kufungua Huawei products: https://www.dc-unlocker.com
 
Ungekuwa na nia ya kujifunza usingeanza na neno acha pumba. Ukweli huwa haushindaniwi kama unataka nikutafsirie website nzima ya dc-unlocker kwa kiswahili nitafute maana kila kitu kipo kwenye hiyo website and its legit. Tatizo la wabongo tunapenda kuongea bisha kitu usichokuwa na uhakika.

Kama kuna mtu kweli anania ya kutaka kujua jinsi ya ku unloack anitumie msg private nimfungulie kwa hela maana kufungua bure watu wanakuwa na ubishani sasa dawa ni kufungua kwa hela ili uwe na uchungu na uache ubishi usio na msingi
 
Pumba tupu!! Shame on you
 
deejywillzz sidhani kama upo sahihi maana inajulikana fika hizo modem ni CDMA Technology utazi unlock fresh ila haziwezi soma GSM.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
So lets make this easy SPYMATE na kicheko. unaweka shillingi ngapi mezani nikiifungua na kufanya kazi katika GSM?
 
Last edited by a moderator:
We sema upo wapi nikupe bure hii cdma ya zanter ufungue uuze kk

Hahaha your missing the point here, modem hata mimi naweza kununua, nina sisco router nyumbani kwangu.

Here we are trying to prove a point kuwa is it possible or not possible. So mi nasema its possible nikishindwa kuifungua na kutumia GSM mi nitakupa laki mbili cash (TZS 200,000) ila nikiifungua na ikafanya kazi unanipa (TZS 200,000).

What do you say about that?
 
HAYA BHANA WE BINGWA WA FUPA LILILOWASHINDA MAGWIJI HUMU. chief-mkwawa gkiwango Mwl.RCT Kimox Kimokole ebu njooni huku kuna technology ya kuconvert CDMA modem iweze soma line za gsm
 
Last edited by a moderator:
HAYA BHANA WE BINGWA WA FUPA LILILOWASHINDA MAGWIJI HUMU. chief-mkwawa gkiwango Mwl.RCT Kimox Kimokole ebu njooni huku kuna technology ya kuconvert CDMA modem iweze soma line za gsm

Sikuwa nabishana kwa nia ya kuibuka mshindi. Huwa na penda kubishana ili katika ubishi nitoke NIMEJIFUNZA KITU au NIMEMFUNZA kitu ninaebishana nae.

Google has made life easy for everyone: go to google you will get all information about cdma & gsm and how to make them work together.

Enjoy your day
 
dah!! huyu mtu mweh!!
 
MWAGA MAUTUNDU HAPA KUONYESHA UNACHOSEMA SIJUI TUKUKUWEKE KUNDI GANI.... @deejaywillzz

ngoja mtaaluma niingie sandukuni kusaka manotes alafu nitakupa maujanja ya ku-crack na kubomoa kbs. hizi model nilipelekwa kuzisomea Iran mwaka 1650 kabla hata ya internet kuzinduliwa :madgrin:

haaaa, weee nooma
 
Nipe email yako nikutumie zip file halafu ufuate maelezo hapo chini.

Connect modem yako kwenye computer kisha run software imeandikwa DCU_HWE_CDMA_MDM_0010_beta.exe
Tumia software hii kupata IMEI/MEID number ya modem yako, kisha ikopi. Click on detect modem

Fungua software ya huawei unlocker (Huawei Unloker.exe) kisha paste IMEI/MEID namba yako then itakupa UNLOCK CODE na FLASH CODE

Fungua ec122 firmware update file install kisha itakuuliza uingize passcode, ingiza FLASH CODE kisha update modem

Ukimaliza hapo inakuwa imeshafunguka ila inakuwa na ishu ya CDMA. Sasa fungua software inaitwa (CDMA work shop) chagua COM port modem yako inayotumia kisha click connect. Then nenda kwenye option ya security ingiza namba 000000 then send spc, kisha ingia tena kwenye option ya Other halafu chagua R-UIM Only write kisha exit

N:B Disable antiVirus yako ukiwa una run CDMA work shop sababu inakuwa block sababu its custom coded software

Last step unaweza kutumia dashboard iliyokuwa kwenye zip file au unaweza kutumia mobile parnter dashboard.

Enjoy
 
Ngoja mi niwe wa kwanza kuprove deejaywillzz
fareal6@gmail.com
 
simbasson78@gmail.com nasubiri hicho kifungulio ili nitoe mshindo nyuma hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom